Kwanini watu wa Dar wanaitana "Babu"?

Kwanini watu wa Dar wanaitana "Babu"?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Nimefika sehemu nasubiria daladala kwenda mabibo nashanaga naitwa "Babu vipi", Mabibo hiyo, alisikikaa konda mmoja akiniambia hivyo. Moyoni nikajisemeha wenda nimekuwa babu nini au haya mapigo yangu ya kimavazi naonekana kibabu mimi, nikakausha.

Sijakaa sawa kondakta huyo huyo akachukuwa abira sehemu nikasikia akisema babu kamata chuma twenda Mabibo-Ilala Boma.

Nikafika kwa mwenyeji wangu akanisalimia babu vipi?"

Kwa kifupi sipendi Hili neno" babu "mimi.

Kwa sasa niko Mabibo safarini.
 
Nimefika sehemu nasubiria daladala kwenda mabibo nashanaga naitwa "Babu vipi", Mabibo hiyo, alisikikaa konda mmoja akinimbia hivyo. Moyoni nikajisemeha wenda nimekuwa babu nini au haya mapigo yangu ya kimavazi naonekana kibabu mimi, nikakausha.

Sijaka sawa kondakta huyo huyo akachukuwa abira sehemu nikasikia akisema babu kamata chuma twenda Mabibo-Ilala Boma.

Nikafika kwa mwenyeji wangu akanisalimia babu vipi?"

Kwa sasa niko Mabibo safarini.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni msimu wa 'babu'; kuna wakati walisema, "mwana"...!!!
 
Nimefika sehemu nasubiria daladala kwenda mabibo nashanaga naitwa "Babu vipi", Mabibo hiyo, alisikikaa konda mmoja akinimbia hivyo. Moyoni nikajisemeha wenda nimekuwa babu nini au haya mapigo yangu ya kimavazi naonekana kibabu mimi, nikakausha.

Sijaka sawa kondakta huyo huyo akachukuwa abira sehemu nikasikia akisema babu kamata chuma twenda Mabibo-Ilala Boma.

Nikafika kwa mwenyeji wangu akanisalimia babu vipi?"

Kwa sasa niko Mabibo safarini.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pole "babu"
 
Back
Top Bottom