Kwanini watu wa Dar wanaitana "Babu"?

Kwanini watu wa Dar wanaitana "Babu"?

Nimefika sehemu nasubiria daladala kwenda mabibo nashanaga naitwa "Babu vipi", Mabibo hiyo, alisikikaa konda mmoja akiniambia hivyo. Moyoni nikajisemeha wenda nimekuwa babu nini au haya mapigo yangu ya kimavazi naonekana kibabu mimi, nikakausha.

Sijakaa sawa kondakta huyo huyo akachukuwa abira sehemu nikasikia akisema babu kamata chuma twenda Mabibo-Ilala Boma.

Nikafika kwa mwenyeji wangu akanisalimia babu vipi?"

Kwa kifupi sipendi Hili neno" babu "mm

Kwa sasa niko Mabibo safarini.
Oooh kaa toto
 
Back
Top Bottom