kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Wapi nimeleta ubaguzi?Jamii forum kuna haja ya kuwa na Jukwaa la Ubaguzi watu kama hawa wawe wanacomment na kupost mambo yao ya ukabila ,udini na Ukanda mfurahie huko .
Ndorooooboooo wewe!!!Wapi nimeleta ubaguzi?
Rudi usome kipengele namba 4 hizo chuki zisizo na faida na ndio maana mnauana hovyoMatukio uliyoyaorodhesha yametokea Kanda ya Ziwa sio Kanda ya Kati. Au hujui Mikoa ya Kanda ya Kati na Ziwa ni ipi?
Ndoroooobooo wewe!!!
Tuwaelimishe wale ni watanzania wenzetuKwa sababu bado ni Washamba,hawajastaarabika na Wana Imani za kishirikina Sana..
Pia wamezaliana mno
Akisha sema usinichezee Kaa mbali au kimbiaWatu wa huko musoma wanapenda Shari sana wale watu,halafu dharau hawapendi utasikia tu usinichezee mimi sichezewi
Sasa Mwendazake wao badala awapelekee mashule kila sehemu yeye anajenga daraja na kusombelea wanyama Chato,ndio kitawatoa kwenye umaskini?Tuwaelimishe wale ni watanzania wenzetu
Tuwaelimishe wapunguze hasiraNawapenda kanda ya ziwa,hawana utani kwa kila kitu[emoji123]
watu wangu wa nguvu,wakimaanisha wanamaanisha kweli,hakuna kama nyie[emoji1545]
Takwimu za huko zinatisha,na Hali hii haikubalikiKwa hiyo huko kwengine hakuna matukio, siyo?
🤣🤣🙌Sasa Mwendazake wao badala awapelekee mashule kila sehemu yeye anajenga daraja na kusombelea wanyama Chato,ndio kitawatoa kwenye umaskini?
Hawapendi kuzinguliwaTuwaelimishe wapunguze hasira
SawqHawapendi kuzinguliwa
Kabisa kanda ya ziwa hapafai
1.Kuokota maiti kwenye viroba kanda ya ziwa
2. Gaidi hamza kuua askari polisi kanda ya ziwa
3.Ulimboka kutekwa kanda ya ziwa
4.Akwilina kupigwa risasi kanda ya ziwa
5.Mume kumchoma mkwe ka magunia mawili ya mkaa kanda ya ziwa
6. hausigel kunyonga mtoto kanda ya ziwa
7. ben sanane kapotelea kanda ya ziwa
Aiseee kanda ya ziwa inaupiga mwingi
#Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Kuna matukio kama Yale yanayotekelezwa na watu wasiofahamika hatuwezi kuyaweka kwenye list hii kwasababu umesahau kifo Cha kamanda Mawazo,shambulio la Tundu Lisu na kutekwa Kwa Mdude Nyagali.Kabisa kanda ya ziwa hapafai
1.Kuokota maiti kwenye viroba kanda ya ziwa
2. Gaidi hamza kuua askari polisi kanda ya ziwa
3.Ulimboka kutekwa kanda ya ziwa
4.Akwilina kupigwa risasi kanda ya ziwa
5.Mume kumchoma mkwe ka magunia mawili ya mkaa kanda ya ziwa
6. hausigel kunyonga mtoto kanda ya ziwa
7. ben sanane kapotelea kanda ya ziwa
Aiseee kanda ya ziwa inaupiga mwingi
#Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Kwao ni Japan au TZ? Fwalest kabisa wewe...[emoji16]Matukio hayo uliyoyataja hayafikii au hayatishi kutokea huko kanda ya ziwa…Unakumbuka mauaji ya watu 17 ya familia moja huko musoma? Niambie ni mkoa gani hapa Tanzania yashafanyika jambo kama hilo ni huko huko kwenu