co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Kwao ni Japan au TZ? Fwalest kabisa wewe...[emoji16]
Huwezi kulinganisha na mkoa wa mara mzee,kule ni hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwao ni Japan au TZ? Fwalest kabisa wewe...[emoji16]
Ya mikoani si ndio hayo hapo tumekuwekea yanayoendelea Kanda ya ziwa,au kule sio mikoani?Tanzania hii kila kona kuna matukio mengi ya hatari sana haswa Mikoa iliyo Mipakani,,,,
Kwa mtu anayefanya au aliyewahi fanya kazi za Afya na amezunguka hii nchi sehemu nyingi atakuwa anafahamu nachoongelea maana hapa ni ushabiki tu haswa kwa matukio ambayo yamepata "air-time", kuna matukio mengi tena ya kutisha yanatokea haswa mikoani na wala hayatangazwi....
Ndo na mimi nimejibu hapo juu...Ya mikoani si ndio hayo hapo tumekuwekea yanayoendelea Kanda ya ziwa,au kule sio mikoani?
Sawa kiongoziNdo na mimi nimejibu hapo juu...
Kwa sababu ya umaarufu!! wa KANDA YA ZIWA ndo kanda pekee inayo ikimbiza DSM!...Watu wengi hasa wasimbe wanakimbilia kanda ya ziwa ili wapte fedha!! wakifika kule wanaenda na tabia zao!1. Hapo miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 2000 matukio ya vifo vya albino
2. Mauaji holela ya watu huko tarime mara
3. Mauaji ya vikongwe wenye macho mekundu Kwa kisingizio eti ni wachawi shinyanga na mikoa jirani
4. Ukatili wa kijinsia huko,tazama kielelezo hapo chini.
5. Matukio ya ujambazi
6. Imani potofu na kuwageuza watu misukule ( Mfalme Zumaridi na mazombi wake)
Hayo ni machache kati ya Yale mengi yanayofanyika huko. Nadhani ni wakati Sasa wa jamii kuanza kuwasemanga na kuwakosoa hadharani.
Ni miongoni mwa watu wanaotuaibisha Tanzania kimataifa kutokana na tabia zao zisizoonesha ustaarabu na kustaarabika kijamii,kimaadili na kimaono.
Sawa sister nifanyie mpango wa kiwanja MwanzaKwa sababu ya umaarufu!! wa KANDA YA ZIWA ndo kanda pekee inayo ikimbiza DSM!...Watu wengi hasa wasimbe wanakimbilia kanda ya ziwa ili wapte fedha!! wakifika kule wanaenda na tabia zao!
za umalaya, unafiki, wivu, uchawi nk! hapo mkanda ya ziwa hakuelewi lazima akuue tu! tena hadharani kwa panga moja kaliii chwaaa! kichwa kuleee!
Kanda ya ziwa ni bora mnoooo! kwa kila hali kwanza imepakana na nchi tajiri za kenya na Uganda, umeshaona watu wanaenda Mtwara japo kuna Mafuta??? karibu na south?
kadri siku zinavyo kwenda watu wata miminika hukoooo! sababu ya kenya kuwa mshirika mkubwa wa NATO, mleta mada wahi kiwanja! ila ...
Sawa tuma mpunga faster! usichelewe! nafasi ni chache! Low densty karibu na Nyakahoja!! kuna kingine kuleee Karibu na mlima wa Bwiru! lkn bara bara mtihani!Sawa sister nifanyie mpango wa kiwanja Mwanza