Kwanini watu wa kanda ya kati na Kanda ziwa Wanamake head lines Kwa matukio ya kipumbavu

Tanzania hii kila kona kuna matukio mengi ya hatari sana haswa Mikoa iliyo Mipakani,,,,

Kwa mtu anayefanya au aliyewahi fanya kazi za Afya na amezunguka hii nchi sehemu nyingi atakuwa anafahamu nachoongelea maana hapa ni ushabiki tu haswa kwa matukio ambayo yamepata "air-time", kuna matukio mengi tena ya kutisha yanatokea haswa mikoani na wala hayatangazwi....
 
Ya mikoani si ndio hayo hapo tumekuwekea yanayoendelea Kanda ya ziwa,au kule sio mikoani?
 
Kwa sababu ya umaarufu!! wa KANDA YA ZIWA ndo kanda pekee inayo ikimbiza DSM!...Watu wengi hasa wasimbe wanakimbilia kanda ya ziwa ili wapte fedha!! wakifika kule wanaenda na tabia zao!

za umalaya, unafiki, wivu, uchawi nk! hapo mkanda ya ziwa hakuelewi lazima akuue tu! tena hadharani kwa panga moja kaliii chwaaa! kichwa kuleee!

Kanda ya ziwa ni bora mnoooo! kwa kila hali kwanza imepakana na nchi tajiri za kenya na Uganda, umeshaona watu wanaenda Mtwara japo kuna Mafuta??? karibu na south?

kadri siku zinavyo kwenda watu wata miminika hukoooo! sababu ya kenya kuwa mshirika mkubwa wa NATO, mleta mada wahi kiwanja! ila ...
 
Sawa sister nifanyie mpango wa kiwanja Mwanza
 
Sawa sister nifanyie mpango wa kiwanja Mwanza
Sawa tuma mpunga faster! usichelewe! nafasi ni chache! Low densty karibu na Nyakahoja!! kuna kingine kuleee Karibu na mlima wa Bwiru! lkn bara bara mtihani!

lkn kuna vingine viko Borega/kamageta mpakani na Kenya ila huko ujiandae kwa Mapanga Mda wowote linatua Mwilini huku ni Surna! kuwa na makovu ya visu/mapanga usoni huku kawaida! usiogope!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…