Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
AiseeKiongozi gani anawaza hayo maono
Labda tujue gharama ya desalination na gharama ya kuvuta fresh water kutoka Ruvu.NB: Nina Akili Ndogo Sana
Ninasikia kuna technology ya kubadilisha maji ya chumvi kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani??
Oysterbay na Masaki si ndio kuna elites Tanzania (siwafanyii kejeli au dhihaka), sasa kwanini wasumbuliwe na tatizo la mgao wa maji ilhali wana nguvu za kisiasa (decision making) na exposures za ughaibuni??
NB: Oyster Bay na Masaki inawakilisha maeneo yote yanayopakana na Indian Ocean ikiwemo Mbezi Beach, Kawe, Ununio, etc
Kubadilisha maji ya bahari kuwa maji safi inawezekana ila gharama yake ni kubwa Islael wanayo iyo technology.NB: Nina Akili Ndogo Sana
Ninasikia kuna technology ya kubadilisha maji ya chumvi kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani??
Oysterbay na Masaki si ndio kuna elites Tanzania (siwafanyii kejeli au dhihaka), sasa kwanini wasumbuliwe na tatizo la mgao wa maji ilhali wana nguvu za kisiasa (decision making) na exposures za ughaibuni??
NB: Oyster Bay na Masaki inawakilisha maeneo yote yanayopakana na Indian Ocean ikiwemo Mbezi Beach, Kawe, Ununio, etc
Hilo swali lielekeze kwa Dr, badala ya kupoteza muda wa kufikiria jinsi ya kumnyonga Lissu wangeelekeza mawazo ya mitambo ya kuchuja chumvi.NB: Nina Akili Ndogo Sana
Ninasikia kuna technology ya kubadilisha maji ya chumvi kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani??
Oysterbay na Masaki si ndio kuna elites Tanzania (siwafanyii kejeli au dhihaka), sasa kwanini wasumbuliwe na tatizo la mgao wa maji ilhali wana nguvu za kisiasa (decision making) na exposures za ughaibuni??
NB: Oyster Bay na Masaki inawakilisha maeneo yote yanayopakana na Indian Ocean ikiwemo Mbezi Beach, Kawe, Ununio, etc
NI KWELI, ipo Tekinolojia ya kubadlisha maji Chumvi ili yatumike nyumbani.Ninasikia kuna technology ya kubadilisha maji ya chumvi kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani??
Rushwa inataka kunipotezea haki yangu kwa Vodacom na Airtel Tanzania. Watumishi wengi wa serikali ni wala rushwa wakubwa.NI KWELI, ipo Tekinolojia ya kubadlisha maji Chumvi ili yatumike nyumbani.
Mostly hii huwa ni rahisi kwa yale maji ya kuchimba chini (VISIMA), kwa kuwa yale huwa hayana Chumvi nyingi, hivyo kuipunguza huwa ni rahisi.
But maji ya bahari yana Chumvi nyingi sanaaa, hivyo shughuli ya kuitoa hio Chumvi italeta gharama kubwa sana kwa watumiaji. Matajiri wanaoishi hizo area umetaja, always huwa ni mabahili kwenye matumizi.
Mwisho, Ushauri wako ni mzuri, ila umeutoa kwenye Nchi isiyo sahihi.
Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
Ocean water desalination machine prices range from $3,050 to $15,000 for portable marine units, $15,000 to $60,000 for small commercial systems, and $60,000 to over $5,000,000 for large industrial plants.NI KWELI, ipo Tekinolojia ya kubadlisha maji Chumvi ili yatumike nyumbani.
Mostly hii huwa ni rahisi kwa yale maji ya kuchimba chini (VISIMA), kwa kuwa yale huwa hayana Chumvi nyingi, hivyo kuipunguza huwa ni rahisi.
But maji ya bahari yana Chumvi nyingi sanaaa, hivyo shughuli ya kuitoa hio Chumvi italeta gharama kubwa sana kwa watumiaji. Matajiri wanaoishi hizo area umetaja, always huwa ni mabahili kwenye matumizi.
Mwisho, Ushauri wako ni mzuri, ila umeutoa kwenye Nchi isiyo sahihi.
Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
Ocean water desalination machine prices range from $3,050 to $15,000 for portable marine units, $15,000 to $60,000 for small commercial systems, and $60,000 to over $5,000,000 for large industrial plants.Kusafirisha maji safi ya mto kutoka kilomita 100 bado ni bei rahisi na salama zaidi kiuchumi kuliko kusafisha maji ya bahari yaliyo mlangoni mwa Masaki na Oyster Bay.
Teknolojia ipo, lakini gharama yake ingefanya bei ya maji kwa ndoo au mita ya ujazo kuwa juu sana kwa mtumiaji wa kawaida.
Uwezo wetu ni mdogo wa kuamua na kufikiri mambo kwa mipango ya muda mrefu..Labda tujue gharama ya desalination na gharama ya kuvuta fresh water kutoka Ruvu.
Hatari sana mkuuUwezo wetu ni mdogo wa kuamua na kufikiri mambo kwa mipango ya muda mrefu..
Nchi imezungukwa na maji kila eneo ila maji ni tatizo tuna tatizo zaidi ya tatizo la maji.
Maji ni ishu ya mabomba na pump za kuvuta maji tu hakuna kitu kingine wao wamebaki na hapo hapo Ruvu wakati Wami ina maji huko Moro ndio usiseme ila kila kukicha watengeneza uongo usio na kikomo..Hatari sana mkuu