Kwanini watu wa Oyster Bay na Masaki wategemee maji kutoa 100 Kilometers (Ruvu) ilhali kuna Bahari na teknolojia?

Usiwashangae watu wa Masaki pekee! Washangae na wale wananchi wanaopakana na Ziwa kubwa kama Victoria mfano Mwanza, Mara, Kagera, nk kulalamikia shida ya maji!

Yaani serikali inashindwa kusambaza mabomba ya maji kwa wananchi wanaoishi karibu na hilo ziwa hata baada ya miaka zaidi ya 60 toka nchi ilipopata Uhuru.
 
Mhhh
 
Back
Top Bottom