Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

Utakuwa una tatizo la msongo wa mawazo.kwa hiyo tunakusamehe.
 
kungekwepo na binadamu mbaya kwa luonekano husingeweza hata kumtizama uson

ndio mana nika refer kwenye perception ya mtu hao unaosema ni wazuri kwa kutumia kigezo gan au kuna binadamu mzuri aliwahi umbwa ndio unaona hao akina uwoya wamefanana nae????
Nathani umeshanielewa

I rest my case aitoendelea na nisharudi kwenye misingi ya UBINADAMU (Humanity) hakuna binadamu mbaya ✔️✔️
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Wewe fala sana tafuta picha yako ya zamani sana fala sana wewe, wewe ni zombi sana enzi zako
 
Nathani umeshanielewa

I rest my case aitoendelea na nisharudi kwenye misingi ya UBINADAMU (Humanity) hakuna binadamu mbaya ✔️✔️
sio kwa misingi ya humanity tu hata kwa muonekano hakuna aliumbwa yeye ana muonekano mbaya
 
Mazingira tu ndiyo tofauti na aina ya lifestyles.......kazi ngumu ni moja ya point yangu wengine wachangie.
 
Swala hilo nilakuja kujadili apa, kama umeshindw kujua sababu za msing zinazomshape mnyam kweny mazingra , kwa akl yako hyo hufai ata kuw binadamu /mtu mzma
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
as my opinion kijijn ni msoto unaez kut mtu anabebelea maj kchwan pk 5km kuendsha baskel kuchanja kuni mosh kutmbea umbal mref sn izo zte znachosha mwil na wao cz awapo influential na afya zao awatunz miil yao kuoga mbinde mavaz mbinde cz environment pia azirus lishe mbov then km huna hela uwez kuoa mwnamk mzur utaoa wa hadh yko ivo uwez kuzaa watot wqzur lazm mtoto afanan na mama na baba....tukirud hko masak ingaw wpo maish ya kawaid ila cz umeongelea high lyf tumzngmzie mtu wa high life akiamka anapga breakfst mayai sosej na chai ya maziw anaoga hpo analala na ac akimalz anapand kweny gar ana ac akifka job ana ac anafany kaz nzur apg msoto ankula uzur analala vzur jion anaend gym akitoka gym anaenda sauna kupoza mwil wikend akienda salun umo atapga masage atapga facial scrub zte ni hospitality tu znaonekan mtu aonekn gud na mavaz pia labd ujawh kuona dem anatoka bush anakuj mjin kufanya kaz afta dat ana adopt mazngir ya mjin salun nn anaog vzur anapaka lotion nzur anapga scrub lazm awe mzur km ujawh kuona nakutolea mfano kwa shilole pind ankuja dar alikua anauza ubwabwa anamsaidia maza m1 mama ntilie mtaa wa kilwa kuna kisoko flan cha wachonga vnyago na wauza viaz mikaa karb na ukuta wa relin bt look shilole now..na hyo mifan midog tu wpo watatoa ming zaid kwa walivo experience
 
Kijijini kazi ngumu,hela ya dawa tu ya mswaki shida wanapigia miti..shamba daily lazima vidonda kibao mguuni..town huku tumekaa tu kwenye sofa movie baadae jioni bar sinza saloon daily why tusi shine
 
Sidhani labda huko kwenye mikoa yenu ya nyanda za juu, sisi huku kwetu Manyara maeneo ya Dongobesh wapo waziri sana kama waethiopia pamoja na umasikini wao.
 
kungekwepo na binadamu mbaya kwa luonekano husingeweza hata kumtizama uson

ndio mana nika refer kwenye perception ya mtu hao unaosema ni wazuri kwa kutumia kigezo gan au kuna binadamu mzuri aliwahi umbwa ndio unaona hao akina uwoya wamefanana nae????
Mbona wapo mkuuu
 
Inategemea ni kijiji gani unaongelea...
Kuna vijiji vimechachuka yani ukienda huko wa mjini ndo unajistukia.
Nenda milimani huko mamba miamba siku ya soko jumatano uone wanawake na wanaume wanavyowaka na walivyo nadhifu kwa mavazi yao na pia walivyo wazuri wa sura.
Kumbe mpare[emoji12][emoji12]
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Lishe narudia tena Lishe😊
 
Inategemea ni kijiji gani unaongelea...
Kuna vijiji vimechachuka yani ukienda huko wa mjini ndo unajistukia.
Nenda milimani huko mamba miamba siku ya soko jumatano uone wanawake na wanaume wanavyowaka na walivyo nadhifu kwa mavazi yao na pia walivyo wazuri wa sura.
Hii mamba miamba ya same
 
Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu !

Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri.

Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi kwà kumuangalia muonekano wa umbile na sura yake.

Asha kum si matusi.
Watu wanaoishi milimani vijijini huko matombo mfano wanafanana na nyani kwà karibu wakati binti anaeishi masaki anakuwa anafanana na malaika kabisa yani.

Wakati wa vijijini milimani kule matombo au mpwapwa ndanindani watakuwa weusi wafupi wakavu waliopinda miguu na migongo na wenye vichwa vibaya bàsi wa masaki watakuwa warefu walionyooka awe mweusi au mweupe atakuwa mzuri wa sura macho na vihipsi laini matombo huwezi kuipata figure ya namna hii.
Sikusudii kumkwaza mtu ni utafiti wangu.
Hakuna ukweli bali namna unavyowaona na kuwahukumu
 
mtu mwenye akili timamu kabisa hawezi kuandika hivi
 
Lishe na kazi ngumu,kijijin mtu anashindia makande na mlenda,mjini ni mwendo wa pizaa kiepe ,huku wakila kiyoyozi.

Kimsingi watu wa kijini na wa mjini wanatofauti kubwa ki mwonekano.

Kwamba Pizza na kiepe ndiyo chakula bora kinawafanya wanawiri?.Mimi nafahamu hivi ni junk foods,au ndiyo yale ya wanaokula KFC ni wajanja kuliko tunaokula Ugali wa dona, matembele,mchicha na mboga nyingine za majani?
 
Back
Top Bottom