Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,031
Ahsante sana Mkuu.Kila benki wana majina yao ila kwa hiyo niliyonayo wanaiita Pay as you go current account (Standard Chartered Bank), unapewa cheque book, unaweza aacha salio hadi TZS 0, makato ni pale unapotoa kwa ATM au kutoa dirishani. Benki nyingi sasa hivi wanakuja na hiyo aina ya akaunt, mfano mwingine ni Equity Bank, wanayo japo wao hawakupi cheque book, na niliwapenda kwenye USD account, ina uendeshaji mdogo sana kwa gharama.
Nitakusumbua kidogo, naomba uniangalizie hiyo account ya pay as you go current account ya standard chartered, kwenye benki za NMB, CRDB, NBC na DTB kila moja wanaiitaje?