Thanks, will be back in two hrs naenda gym kusukuma uzito......ikitokea zali kuwe na mlinzi hahahahaha kidding!!
Oh hilo mbona sio tatizo maana mi mwenyewe nasukuma weight kama sina akili nzuri?
how much do you bench press?
Usiwe na shaka cupcake, tutaenda....
Bibi kaniambia ana gunia zima la matobolwa....najua utayapenda tu.
i doubt kama atakuwa ana bench press more than 50lb...hawezi akanipita maana mimi 40 is my limit...
aaawww...my cupcake ana bench press 40lbs.....lol
Watu wengine huibia kwa sababu wanatamani tu vingine na si kwamba kuna kitu wanakosa kwenye mahusiano yao. Chukulia tu hata mambo mengine katika maisha. Kwani kila siku wewe unakula nyama ya ng'ombe? Ukiila kila siku itafika siku itakukinai na utataka ya mbuzi au samaki. Same thing na relationships. Baada ya kuwa na mtu huyo huyo kwa muda mrefu ipo siku utapata katamaa ka kumjaribu mwingine just for a change...I know it's scary and sad, but in my opinion, it's true.
Mimi nafikiri haya mambo ya kustaarabika na dini ndiyo yanatufanya tuwe na mtu mmoja tu baada ya ndoa kwa miaka chungu nzima, lakini binadamu kama wanyama, tunastahili kuwa na wapenzi wengi tu. Ukichanganya na magonjwa yaliyokuwepo hivi sasa hili swala la kucheza hovyo hovyo unaweza ukagusa mawayawaya ukabaki kujutia maisha yako.
Masanilo kumbe na weye msukuma?
nawapenda dada zenu NN kanibania dada zake ananiua eti mimi muhuni......
Na wewe Masa nilo unanitosa?
Kama huamini nenda Kibondo au S'wanga......wazee wanatundika makoti ukutani na hamna misumali......Hivi una believe in kuroga?...i don't believe such stuff...you need put god first in everything you do...ndiyo maana shetani anatawala sana
sijalosti najua dada zenu hawana ghrama..matembele na makopa siku imepita......usingekuwa umelosti ningekupigia krossi....
Kama huamini nenda Kibondo au S'wanga......wazee wanatundika makoti ukutani na hamna misumali......
Unafahamu au uliwahi kusikia mtu katumiwa pembe?
Ulishafika ziwa tanganyika? kuna mji mzuri sana ziwani mule chini.......
Nani kakuambia kuroga ni ushetani?
Ulishawahi kusikia wapi shetani kaonekana?Kwa kuroga siyo ushetani then ni nini?...of course ni ushetani maana ni shetani anakutuma ufanye kitu ambacho kipo against the culture.
Ulishawahi kusikia wapi shetani kaonekana?
mbona mnamsingizia shetani wawatu?
FYI kuroga sio ushetani.....ni sayansi ya jadi ambayo mimi na wengine bado tunaienzi.....David Blaine mnamuita magician mimi mnaniita mchawi....
Kuroga ni sayansi inayowezesha maisha ya kila siku kuwa marahisi.......muulize cupcake wako gambushi ni nini?we we weeee temea mate chini kijana nani kasema ushetani ni sayansi...kuna tofauti kati ya kuroga na kufanya mazingawombwe...ile mazingawombe ni danyanya toto lakini kuroga ni kama unamtolea mtu kafara ya kishetani...acha kudanganya walionuna eti kuroga ni kama udaktari....kumbuka watu wanaroga ili kumfanya mtu mambo yake yaende vise versa...na madktari wanakutibu mtu ili upone na uendelee na shughuli zako kama kawaida they dont mean to harm anybody...
Kuroga ni sayansi inayowezesha maisha ya kila siku kuwa marahisi.......muulize cupcake wako gambushi ni nini?
mimi nina shamba langu nachukua watu 1000 wenye nguvu wanalima napata mazao......uoni nifaida hiyo?
Mchawi ni bora sana katika uchumi nyie ndio mnafanya mpaka teknolojia yetu tusiwagawie wengine.....
mfano usafiri.......ni usafiri gani usiokuwa na gharama na wa kasi kama wa mchawi ungo........unajua mwendo kasi wa ungo?
usije ukaniambia uchawi ni kula nyama za watu....kula nyama za watu ni tabia haipo katika katiba ya uchawi.....
nyie na vidini vyenu mmetuaharibia maisha....mmefanya yamekuwa magumu
Oh hilo mbona sio tatizo maana mi mwenyewe nasukuma weight kama sina akili nzuri?
how much do you bench press?
Masanilo kumbe na weye msukuma?
nawapenda dada zenu NN kanibania dada zake ananiua eti mimi muhuni......
Na wewe Masa nilo unanitosa?
Homeboy niko vizuri on pushing the guns, bench press kama 20 hivi in 3 steps, uzito 180 lb....na fanya pia cardiovascular for 40 mins running hahahaha usipime mazee