Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Wengi hawajisumbui kusoma na kuelewa masharti husika kwa undani kabla ya kukopa, hivyo hawawezi kujua kama huo mkopo ni kausha damu.Wakuu,
Mikopo kausha damu inapigiwa sana kelele, na tuomeona watu kadhaa wakiathirika na mikopo hiyo, lakini mbali na hayo yote kutokea na kupigiwa kelele kuwa haifai bado watu wanaendelea kukopa na wahanga wanaongezeka!
Kwanini watu wanaendelea kuchukua mikopo hii mbali na athari wanazopata kutokana nayo?