Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #101
Huku akikupiga kamba kuwa huku ni kupau kifrench, kule kwa zamani kibritish. Na wewe kwa kubabaika na huto tuneno unaingia mkenge😀😀.[emoji1787] fundi Maiko akitaka pesa nyingi za kupaua ni lazima apaue kwa mtindo huo. Hapo anakuingiza gharama kubwa za material na ufundi bila sababu