Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #101
Huku akikupiga kamba kuwa huku ni kupau kifrench, kule kwa zamani kibritish. Na wewe kwa kubabaika na huto tuneno unaingia mkengeππ.[emoji1787] fundi Maiko akitaka pesa nyingi za kupaua ni lazima apaue kwa mtindo huo. Hapo anakuingiza gharama kubwa za material na ufundi bila sababu
Hii kali nyumba haipendezi hataView attachment 2422543
Hawa ndio wale mapimbi wanaotujazia uzi humu kuwa wamepauwa kwa milioni 20[emoji28]
Hii siyo photoshop kweli? Mtu na akili zake anawezaje kufanya hivi?View attachment 2422543
Hawa ndio wale mapimbi wanaotujazia uzi humu kuwa wamepauwa kwa milioni 20[emoji28]
Kikubwa kuta zipande
Wauzaji wa vifaa vya ujenzi wana ajenda zao binafsiFundi akijenga hivi atabomoa kwa gharama yake.
Huu ni utumiaji mbovu wa rasilimali!
Wanataka watengeneze kivutio cha utalii piramids za bongoWakuu sana ni nini kinafanya watu waezeke nyumba na paa linaenda juu kama piramidi?
Kuna faida gani? Standard zinasemaje?
View attachment 2414305
View attachment 2414306
View attachment 2414308