Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
jamani hii hatari eeh na hii Topic iko vere sensitive
Hivi mabinamu nyie mkikutana na ma -X wenu milioachana nao kwa uzuri mnaweza kukumbushia?
ZD ,Geoff ,Nguli ,Xpin Kaizer ..,camel MJ1 ,bht ,Pretty ,Lilly,Pearl ,na wewe Klorokwin dawa ya Maralia ...
lakini si vyema kukumbushia labda kama mko singo mnaweza kuurudisha uhusiano ili uchukue hatua mpya zaidi
kwa hiyo wewe huwa hukumbushii?Kwa upande wangu experience hii ya kukumbishia kwa mtizamo huu sina kwa kweli.....
Na sidhani kama ntakuja kuwa nayo...
Na sioni kama ni jmabo la busara.
bado sijakutana nae kiukweli ..lakini kama wote mnajua kila mtu yuko katika mahusiano kwanini muendelee kuombana tundi...😀
kwa hiyo wewe huwa hukumbushii?
jamani hii hatari eeh na hii Topic iko vere sensitive
Hivi mabinamu nyie mkikutana na ma -X wenu milioachana nao kwa uzuri mnaweza kukumbushia?
ZD ,Geoff ,Nguli ,Xpin Kaizer ..,camel MJ1 ,bht ,Pretty ,Lilly,Pearl ,na wewe Klorokwin dawa ya Maralia ...
lakini si vyema kukumbushia labda kama mko singo mnaweza kuurudisha uhusiano ili uchukue hatua mpya zaidi
Yeah ni kweli kukumbushia muhimu na kama umeoa mke used ukae ukijua mahawala iwa hawaachani hata wakipotezana miaka 20 au 30 lazima wakumbushie penzi lao la dhamani hii haikwepeki.
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!
yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?
Mkuu Mwanakijiji hiyo kukumbushia ni "Cover" tu! Ni Uzinzi, ni Uasherati kama Uasherati mwingine na ni kukosa misimamo katika Mahusiano, halafu ukiiangalia imekaa ki mfumo dume zaidi! Jamani mtamaliza mabucha utamu wa Nyama ni Ule ule LoL!
FL,
Kama mliachana wakati pendo bado lote yaani ni majukumu tu yaliyowatenganisha Laaaa! Mkikutana kama sio kukumbatiana ni busu kwa kwenda mbela regardless you have a wife/husband. Mungu tusamehe kwa hili tunajua tunakukosea
Shamba la kale rahisi kulilima tena.Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!
yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?
Du unatishia maisha ya wana ndoa wote waliopo hapa JF!.Ili kuepuka kuvunjwa moyo na kuwa na amani moyoni na kichwani mwako ni kheri kutokuoa ama kutokuolewa. Ila ukioa au kuolewa basi ujue uwezekano wa kumegewa mwenzako ni mkubwa sana.
Ni kinyume na asili kwa binadamu kumega au kumegwa na mtu huyo huyo milele. Binadamu hatujaumbwa hivyo. Heck hata wanyama hawako hivyo.
oleni mliooa na kuolewa. Kama hujamegwa au kumegewa basi ujue kunakuja
P.
Shamba la kale rahisi kulilima tena.
Du unatishia maisha ya wana ndoa wote waliopo hapa JF!.
Ili kuepuka kuvunjwa moyo na kuwa na amani moyoni na kichwani mwako ni kheri kutokuoa ama kutokuolewa. Ila ukioa au kuolewa basi ujue uwezekano wa kumegewa mwenzako ni mkubwa sana.
Ni kinyume na asili kwa binadamu kumega au kumegwa na mtu huyo huyo milele. Binadamu hatujaumbwa hivyo. Heck hata wanyama hawako hivyo.
Poleni mliooa na kuolewa. Kama hujamegwa au kumegewa basi ujue kunakuja.
na we unajua kukatisha watu tamaa bwana..!! sasa unataka watu wawe wanamegeana..au wanamegana tu! au kila mtu ale cha kwake?
Kwa hiyo hapo inabidi watu wawe "WAPOLE" tu sio, hahaaa!.I'm just keeping it one hundred...
Hivi kweli Mwanakijiji kama wewe umeoa unadhani uko peke yako tu? LMAO...sina nia ya kukunyima raha lakini kama ulikutana na shemeji ukubwani basi chances are una mwenzako au hata wenzako...lol....labda uwe unakuwaga naye muda wote 24/7. Lakini kama anafanya kazi au huwaga anasafiri mwenyewe au wewe huwaga unasafiri na kumwacha peke yake nyumbani kaa ukijua uwezekano wa kumegewa ni mkubwa sana.
Najua utakuwa unakijua kile kipindi cha kwenye TV cha Cheaters. Jaribu kukifuatilia (kama hukifuatilii tayari) na utanielewa nazungmzia nini. Inatisha.