Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
jamani hii hatari eeh na hii Topic iko vere sensitive
Hivi mabinamu nyie mkikutana na ma -X wenu milioachana nao kwa uzuri mnaweza kukumbushia?
ZD ,Geoff ,Nguli ,Xpin Kaizer ..,camel MJ1 ,bht ,Pretty ,Lilly,Pearl ,na wewe Klorokwin dawa ya Maralia ...
lakini si vyema kukumbushia labda kama mko singo mnaweza kuurudisha uhusiano ili uchukue hatua mpya zaidi
Kwa upande wangu experience hii ya kukumbishia kwa mtizamo huu sina kwa kweli.....
Na sidhani kama ntakuja kuwa nayo...
Na sioni kama ni jmabo la busara.