Kwa ajili ya mtihani!Kwa nini binadamu tumeletwa duniani?
Kumtumikia na kumwabudu lakini lengo kubwa zaidi ni kutawala viumbe wake wengine Mungu : kinyume na hapo wewe sio mfuasi maana tunaamini usipofanya hivyo lazima utakuwa upande wa shetani ambaye naye yupo anatafuta wafuasi wakeKwa nini binadamu tumeletwa duniani?
Kwa nini Mungu anataka binadamu wamuabudu, wamuombe, wamtolee sadaka na kumshukuru?
Kama unaamini Mungu yupo ni dhambi usipomuabudu, usipomuomba au usipomshukuru? Yani kama unakubali yupo lakini haufanyi ibada au shukrani yoyote kwake wewe unahesabika ni muovu? Atakufanikishia mambo yako?
Kwa nini wengine anawaambia wasali mara tano kila siku na sio mara kumi, mara moja, kila saa n.k?? Kwa nini wengine wanajiamulia kumuomba wakati wa kuamka, wakati wa kulala na wakati wa baadhi ya matukio tu kama kabla ya kula, kabla ya safari, kabla ya mechi n.k??
Enendeni duniani mkazaliane na kuijaza duniaKwanza jua kwa nini umeletwa duniani! Ukishalijua hili maswali yako yatakuwa ni mepesi sana kwako!
Kwa nini Mungu anataka binadamu wamuabudu, wamuombe, wamtolee sadaka na kumshukuru?
Kama unaamini Mungu yupo ni dhambi usipomuabudu, usipomuomba au usipomshukuru? Yani kama unakubali yupo lakini haufanyi ibada au shukrani yoyote kwake wewe unahesabika ni muovu? Atakufanikishia mambo yako?
Kwa nini wengine anawaambia wasali mara tano kila siku na sio mara kumi, mara moja, kila saa n.k?? Kwa nini wengine wanajiamulia kumuomba wakati wa kuamka, wakati wa kulala na wakati wa baadhi ya matukio tu kama kabla ya kula, kabla ya safari, kabla ya mechi n.k??
Sasa labda mama kahangaika sana kwa waganga wa ibilisi anataka mimba hapati, au kapata mimba bahati mbaya ukazaliwa.... Hapo malengo nini kuletwa duniani?Kwanza jua kwa nini umeletwa duniani! Ukishalijua hili maswali yako yatakuwa ni mepesi sana kwako!
Acha kufuru wewe Mungu gani alikuleta duniani? Wewe ni Yesu?Binafsi sikuomba Mungu anilete duniani.
Alinileta kwa shida zake mwenyewe kwahiyo yeye ndiye anatakiwa anisujudie.
Mwanadamu amekuja ulimwenguni ki tawassuli!Sasa labda mama kahangaika sana kwa waganga wa ibilisi anataka mimba hapati, au kapata mimba bahati mbaya ukazaliwa.... Hapo malengo nini kuletwa duniani?
Tubu ndugu ipo siku utamkiri kwa kinywa chako mwenyewe kabla hujafaBinafsi sikuomba Mungu anilete duniani.
Alinileta kwa shida zake mwenyewe kwahiyo yeye ndiye anatakiwa anisujudie.
Kwa malengo zofauti tofauti..Kwa nini binadamu tumeletwa duniani?
Ukitubu wewe inatoshaTubu ndugu ipo siku utamkiri kwa kinywa chako mwenyewe kabla hujafa