Unakufuru ndugu kuhoji uwepo wa Mungu tubu hasira ya Mungu itawaka juu yako utateseka sana hapa duniani na hakika utakiri uwepo wa Mungu.Ukitubu wewe inatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakufuru ndugu kuhoji uwepo wa Mungu tubu hasira ya Mungu itawaka juu yako utateseka sana hapa duniani na hakika utakiri uwepo wa Mungu.Ukitubu wewe inatosha
Ukifikia hatua ya kuweza kutofautisha kati ya dini na Mungu hutakuwa na maswali ya hivi.Kwa nini Mungu anataka binadamu wamuabudu, wamuombe, wamtolee sadaka na kumshukuru?
Kama unaamini Mungu yupo ni dhambi usipomuabudu, usipomuomba au usipomshukuru? Yani kama unakubali yupo lakini haufanyi ibada au shukrani yoyote kwake wewe unahesabika ni muovu? Atakufanikishia mambo yako?
Kwa nini wengine anawaambia wasali mara tano kila siku na sio mara kumi, mara moja, kila saa n.k?? Kwa nini wengine wanajiamulia kumuomba wakati wa kuamka, wakati wa kulala na wakati wa baadhi ya matukio tu kama kabla ya kula, kabla ya safari, kabla ya mechi n.k??
Mental health is realBinafsi sikuomba Mungu anilete duniani.
Alinileta kwa shida zake mwenyewe kwahiyo yeye ndiye anatakiwa anisujudie.
Ninyi waamini mmekuwa mnajiweka kwenye hako ka kichaka ka kukufuru kuzidi kuufunga zaidi ufikiri wenu. Hebu kaisome Mwanzo 4 1- 17 halafu urud nikuulize jambo dogo tu pengine utaanza kujitambua. Mrumi aliweza kweli kuifunga akili ya binadamuUnakufuru ndugu kuhoji uwepo wa Mungu tubu hasira ya Mungu itawaka juu yako utateseka sana hapa duniani na hakika utakiri uwepo wa Mungu.
Hata sasa nateseka mkuu, niteseke mara ngapi?Unakufuru ndugu kuhoji uwepo wa Mungu tubu hasira ya Mungu itawaka juu yako utateseka sana hapa duniani na hakika utakiri uwepo wa Mungu.
Ukimwomba na kumtafuta kwa bidii utakuwa sehemu ya watu wake ujue dhambi ya kumkufuru Mungu ni dhambi mbaya sana. Soma Zaburi 53 : 1. Then uje hapa nikuongoze sala ya toba mkuu Mungu anakupenda sana mkuuHata sasa nateseka mkuu, niteseke mara ngapi?
Mungu ana watu wake kwahiyo haina haja ya mimi kujipendekeza kwake wakati tayari ana watu wake
Kwasababu anayetoa huo mtihani sio mjuzi wa yoteKwa ajili ya mtihani!
Mimi sina shida na mungu, yeye kqma ana shida na mimi basi anitafuteUkimwomba na kumtafuta kwa bidii utakuwa sehemu ya watu wake ujue dhambi ya kumkufuru Mungu ni dhambi mbaya sana. Soma Zaburi 53 : 1. Then uje hapa nikuongoze sala ya toba mkuu Mungu anakupenda sana mkuu
Chukulia hivi pia. Wewe unakaa karibu au hata mbali na watoto, lakini tangu wajitambue hakuna mwenye mawasiliano na wewe, hakuna salamu wala kukujulia hali, na hata ikitokea mkakutana, hakuna mwenye time na wewe, bali mnapishana tu kama maadui, etc. Wewe ungefikiri nini kuhusu watoto wako? Mnapendana au hampendani? Wanakujali au hawakujali? Ndivyo ulivyolelewa hivyo na wazazi wako? Nataka kusema nini. Uhusiano wetu na Mungu una'reflect' uhusiano wetu sisi wenyewe. Wenye uhusiano hai na wazazi/watoto wao ndio pia wanaotafakari kwamba kuna kitu/nguvu fulani zaidi ya haya yote.Kwa nini Mungu anataka binadamu wamuabudu, wamuombe, wamtolee sadaka na kumshukuru?