Kwanini watu wanamuomba na kumshukuru Mungu? Wasipofanya hivyo matokeo yake ni nini?

Ukitubu wewe inatosha
Unakufuru ndugu kuhoji uwepo wa Mungu tubu hasira ya Mungu itawaka juu yako utateseka sana hapa duniani na hakika utakiri uwepo wa Mungu.
 
Ukifikia hatua ya kuweza kutofautisha kati ya dini na Mungu hutakuwa na maswali ya hivi.
 
Binafsi sikuomba Mungu anilete duniani.
Alinileta kwa shida zake mwenyewe kwahiyo yeye ndiye anatakiwa anisujudie.
Mental health is real
 
Unakufuru ndugu kuhoji uwepo wa Mungu tubu hasira ya Mungu itawaka juu yako utateseka sana hapa duniani na hakika utakiri uwepo wa Mungu.
Ninyi waamini mmekuwa mnajiweka kwenye hako ka kichaka ka kukufuru kuzidi kuufunga zaidi ufikiri wenu. Hebu kaisome Mwanzo 4 1- 17 halafu urud nikuulize jambo dogo tu pengine utaanza kujitambua. Mrumi aliweza kweli kuifunga akili ya binadamu
 
Unakufuru ndugu kuhoji uwepo wa Mungu tubu hasira ya Mungu itawaka juu yako utateseka sana hapa duniani na hakika utakiri uwepo wa Mungu.
Hata sasa nateseka mkuu, niteseke mara ngapi?
Mungu ana watu wake kwahiyo haina haja ya mimi kujipendekeza kwake wakati tayari ana watu wake
 
Hata sasa nateseka mkuu, niteseke mara ngapi?
Mungu ana watu wake kwahiyo haina haja ya mimi kujipendekeza kwake wakati tayari ana watu wake
Ukimwomba na kumtafuta kwa bidii utakuwa sehemu ya watu wake ujue dhambi ya kumkufuru Mungu ni dhambi mbaya sana. Soma Zaburi 53 : 1. Then uje hapa nikuongoze sala ya toba mkuu Mungu anakupenda sana mkuu
 
Mimi sina shida na mungu, yeye kqma ana shida na mimi basi anitafute
 
Chukulia hivi pia. Wewe unakaa karibu au hata mbali na watoto, lakini tangu wajitambue hakuna mwenye mawasiliano na wewe, hakuna salamu wala kukujulia hali, na hata ikitokea mkakutana, hakuna mwenye time na wewe, bali mnapishana tu kama maadui, etc. Wewe ungefikiri nini kuhusu watoto wako? Mnapendana au hampendani? Wanakujali au hawakujali? Ndivyo ulivyolelewa hivyo na wazazi wako? Nataka kusema nini. Uhusiano wetu na Mungu una'reflect' uhusiano wetu sisi wenyewe. Wenye uhusiano hai na wazazi/watoto wao ndio pia wanaotafakari kwamba kuna kitu/nguvu fulani zaidi ya haya yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…