Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

bila shaka huwa unagonganishaga macho na hao madereva. Yani mnaangaliana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Napendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So uliogopa kuomba lift kwa dereva ninja? Haha

Yap, penye Nia hakuna kinachoshindikana, piga kazi utamiliki one day.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nikiona range rover au bmw lazima niangalie gari na anaendesha anafanana nalo?wakati hata baiskeli sina [emoji23][emoji23][emoji23]

Sipati picha ulivyoshtuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…