xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
- Thread starter
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenivunja mbavu hapaNapendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app