Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

Napendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenivunja mbavu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kwa sasa hali ni mbaya sana, yani mimi gari langu natumia kwenda ofisin mara mbili tu kwa mwezi, siku nyingine zote niko kwenye kupangwa mistari miwili na kaka kondakta
Mwenye uhitaji aje nimuuzie hili gari aisee
Pole sana mkuu, cha muhimu uhai tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom