Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kama wa daladala hawatuchungulii wanaonaje kuwa tunawachungulia[emoji15] ..Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi au wanapenda kuwachungulia kwa kuwashangaa walio kwenye daladala?
Unakuta barabarani dreva anaacha kuangalia mbele badala yake anachungulia kwenye daladala
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tuangalie neema za MunguNa kuangalia wanawake nje hasa aone tutako kwa nyuma au aone una kasura ka kueleweka kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mnoooo...nafarijika tu na majibu yako naendelea kupanua mapafu huku kwa vicheko
wanawaonea huruma juu ya tabu wanazozipata uko kwa daladala.Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi au wanapenda kuwachungulia kwa kuwashangaa walio kwenye daladala?
Unakuta barabarani dreva anaacha kuangalia mbele badala yake anachungulia kwenye daladala
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkwe. Effects za mazoezi hizo. Nilijitia nataka kuwa fit haraka nikaoverdo. Natembea kama ndama alietoka kuzaliwa sasa hivi.
Usiache endelea ,misuli iachie ,ni kawaida kwa mwanzoniAsante mkwe. Effects za mazoezi hizo. Nilijitia nataka kuwa fit haraka nikaoverdo. Natembea kama ndama alietoka kuzaliwa sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii yangu ni zaidi hadi nimevimba. Nimeanza kuchua jana ila bado. Nishafanya mazoezi aiseee sijawahi umwa week nzima hata magoti siwez kupiga
Hahaha!! Wanasemaga Mtumishi mzima apangwiSisi tunakua tumepangwa na konda tuangalie huko... mistari miwili
Sent using Jamii Forums mobile app