Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

Napendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kumwambia mwanamke aendelee kukuvumilie wakati amekuvumilia kwa muda mrefu. Naona umeanza kutamani wenye PRADO. Nivumilie tu mpnz hadi hapo JIWE atakapolipa madeni yetu japo hatujui ni LINI na SAA ngapi ila kuwa na subira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti na prado gar gan zingine unapenda kuangalia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU ukimaliza hii wamulike na wale ambao wasione simu imefunguliwa password ktk gari yaani hatoi jicho mpka aone unasoma nini, unapost nini yaani tafrani. Hasa ukiwa umekaa yeye kasimama unakuta hasogei hata kama kuna nafasi mpaka akudukue
Hahahah mkuu hili nalo ni kweli aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kuangalia wanawake nje hasa aone tutako kwa nyuma au aone una kasura ka kueleweka kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnawasingizia jamani mmesahau kwamba sifa ya binadamu ni kuangalia huku na kule hivyo hata akimkuta mrembo barabarani ni sehemu ya kuangalia huku na kule pia (nadhani mtembea kwa mguu anamwangalia zaidi mdada kuliko mwenye gari maana kama yupo mbele yake anafanya kupunguza speed ili afaidi maumbile sema watu hawajagundua hilo)
 
Back
Top Bottom