Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
😳😳😀😀😀Na kuangalia wanawake nje hasa aone tutako kwa nyuma au aone una kasura ka kueleweka kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😀😀😀Na kuangalia wanawake nje hasa aone tutako kwa nyuma au aone una kasura ka kueleweka kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
nakupenda bure jaman...post zako hazijawahi kuniacha salama kwa kicheko
wewe unakuwa unamuonaje kama na wewe humchunguliiKwanini Watu wanaoendesha magari binafsi au wanapenda kuwachungulia kwa kuwashangaa walio kwenye daladala?
Unakuta barabarani dreva anaacha kuangalia mbele badala yake anachungulia kwenye daladala
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu kumwambia mwanamke aendelee kukuvumilie wakati amekuvumilia kwa muda mrefu. Naona umeanza kutamani wenye PRADO. Nivumilie tu mpnz hadi hapo JIWE atakapolipa madeni yetu japo hatujui ni LINI na SAA ngapi ila kuwa na subira.Napendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti na prado gar gan zingine unapenda kuangalia?Napendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahahaa.. cheka mwaya uongeze siku za kuishi mamanakupenda bure jaman...post zako hazijawahi kuniacha salama kwa kicheko
congrats mkuu
Baby natamani magari yote mazuri.Ni ngumu kumwambia mwanamke aendelee kukuvumilie wakati amekuvumilia kwa muda mrefu. Naona umeanza kutamani wenye PRADO. Nivumilie tu mpnz hadi hapo JIWE atakapolipa madeni yetu japo hatujui ni LINI na SAA ngapi ila kuwa na subira.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaNi ngumu kumwambia mwanamke aendelee kukuvumilie wakati amekuvumilia kwa muda mrefu. Naona umeanza kutamani wenye PRADO. Nivumilie tu mpnz hadi hapo JIWE atakapolipa madeni yetu japo hatujui ni LINI na SAA ngapi ila kuwa na subira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah mkuu hili nalo ni kweli aiseMKUU ukimaliza hii wamulike na wale ambao wasione simu imefunguliwa password ktk gari yaani hatoi jicho mpka aone unasoma nini, unapost nini yaani tafrani. Hasa ukiwa umekaa yeye kasimama unakuta hasogei hata kama kuna nafasi mpaka akudukue
Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi au wanapenda kuwachungulia kwa kuwashangaa walio kwenye daladala?
Unakuta barabarani dreva anaacha kuangalia mbele badala yake anachungulia kwenye daladala
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnawasingizia jamani mmesahau kwamba sifa ya binadamu ni kuangalia huku na kule hivyo hata akimkuta mrembo barabarani ni sehemu ya kuangalia huku na kule pia (nadhani mtembea kwa mguu anamwangalia zaidi mdada kuliko mwenye gari maana kama yupo mbele yake anafanya kupunguza speed ili afaidi maumbile sema watu hawajagundua hilo)Na kuangalia wanawake nje hasa aone tutako kwa nyuma au aone una kasura ka kueleweka kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii avatar na ID mbn km nafananisha? Uzi wa ss waendesha boda boda ?
Ndie huyo HuyoHii avatar na ID mbn km nafananisha? Uzi wa ss waendesha boda boda ?
Sent using Jamii Forums mobile app