Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

Kabla sjachangia nijue msimamo wako wewe ni mzee Wa first half shahada(laaa ilaha) yaani atheist, hakuna mungu au unaamini mungu yupo

Sent from my phone
 
Tazama hiyo video halafu useme ilikuwaje mtoto mdogo akawa vuguvugu.
Vipi umewahi kwenda hospital kitengo cha Cancer na kuona watu wanavyooza?
Wanaoza kwasababu ya uvuguvugu?
Kuna watoto wanateseka kutokana na uovu ambao wazazi wao walifanya...

Kutoka 20: 5

Biblia inasema nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi chaa tatu na cha nne...
 
Mtu anapozaliwa kiziwi na kipofu sometimes plus na ukiwete. Ni matendo yake akiwa tumboni?
If no.
Je, una uhakika wewe uliyezaa watoto wasio walemavu u mtakatifu kuliko wazazi wa watoto walemavu?
Yaani watu wanaona mfano mtu akiwa na ulemavu fulani basi kalaaniwa au ana madhambi kumbe hamna

Sometimes nature tu na hitilafu miili ni ya nyama hii
 
Mtu anapozaliwa kiziwi na kipofu sometimes plus na ukiwete. Ni matendo yake akiwa tumboni?
If no.
Je, una uhakika wewe uliyezaa watoto wasio walemavu u mtakatifu kuliko wazazi wa watoto walemavu?
Hakuna zao lisilowekwa mbolea sikuhizi...pia madawa au njia za kuzuia mimba...lakini pia kuharibu kutoa mimba ikigoma mtoto alizaliwa Lazima awe na hitilafu...nijuavyo mimi
 
Sisi tunaambiwa tumeumbwa kwa sura na mfano wake
Nyie mnaambiwa na nani?

kwahiyo huenda naye ana tabia kama zakwetu.

Si unaona hata wewe kuna watu kibao wana shida na uwezo wa kuwasaidia unao ila unauchuna kama huoni vile..🙄
Sijakuelewa unachokikusudia hapa,

Utanirekebisha kama nakosea,

Unamaanisha Mungu anamfano kama wetu, hivyo anatabia hizihizi anaona watu pia wanashida na uwezo anao lakini anauchuna kama haoni vile?
 
Mungu ni Mungu mwenye HAKI.
Amewapa Watu Uhuru WA kuchagua hayo Maisha iwe mazuri au Mabaya.
Ni uchaguzi wetu kuwa hivi tulivyo.
Mungu akituamulia tuishi Maisha mazuri kuna Watu wanaopenda Maisha mabaya watanyimwa Haki zao.

Ndio maana zipo sheria za kuishi Maisha mazuri ambayo usipochagua kuzifuata umeamua kuwa na Maisha magumu.

Jamii ikiamua uishi Maisha magumu ni sehemu pia ya uchaguzi wako.
 
Sio kweli
 
Back
Top Bottom