Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu.
Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu ilivyo, hatutakuwa na cha kupoteza. Wachezaji wa timu ya Taifa wawe wa timu ya taifa tu.
Kazi yao iwe mpira usiku mchana.