Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mtahangaika sana mkuu, hakuna njia ya mkato, fuateni tu, jinsi utaratibu, wa kumuandaa mchezaji unatakiwa!!HAKUNA JANJA JANJA!!muda mwingi mnautumia kwenye hamasa badala ya kufundisha mbinu za mpira!!!Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu ilivyo, hatutakuwa na cha kupoteza. Wachezaji wa timu ya Taifa wawe wa timu ya taifa tu. Kazi yao iwe mpira usiku mchana.
Endelea kuandaa rasimu ya Katiba mpya, mambo ya soccar tuachie wahanga wa tozo.Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu ilivyo, hatutakuwa na cha kupoteza. Wachezaji wa timu ya Taifa wawe wa timu ya taifa tu. Kazi yao iwe mpira usiku mchana.
Hata kidogo. Watu wanaokaa muda wote wakijifunza mpira pamoja na kujenga kemia wanakuwa hatari sana. Sometimes mpira ni kujua kucheza pamoja kuliko individual skills.Hiyo timu itakayo undwa Kwa mawazo yako inaweza kufungwa hata na Simba queens.
Ndiyo mnajua mpira kwa nchi kuwa kichwa cha kichaa miaka nenda rudi?Endelea kuandaa rasimu ya Katiba mpya, mambo ya soccar tuachie wahanga wa tozo.
Tanzania has no future to majority but minority.Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu ilivyo, hatutakuwa na cha kupoteza. Wachezaji wa timu ya Taifa wawe wa timu ya taifa tu. Kazi yao iwe mpira usiku mchana.
Klabu zote za ulaya zina timu za vijana, mfano u23. Lakini huwezi kuona timu nzima ya vijana hawa waliokaa pamoja Kwa muda mrefu imepandishwa na kuwa senior team. Wajua sababu ni nini?Hata kidogo. Watu wanaokaa muda wote wakijifunza mpira pamoja na kujenga kemia wanakuwa hatari sana. Sometimes mpira ni kujua kucheza pamoja kuliko individual skills.
Eddo Kumwembe aliwaaambia ukweli TFF wakakasirika wakamfungiaMtahangaika sana mkuu, hakuna njia ya mkato, fuateni tu, jinsi utaratibu, wa kumuandaa mchezaji unatakiwa!!HAKUNA JANJA JANJA!!muda mwingi mnautumia kwenye hamasa badala ya kufundisha mbinu za mpira!!!