Kwanini watu wengi wakipokea pesa aina ya dollar lazima wainuse?

Kwanini watu wengi wakipokea pesa aina ya dollar lazima wainuse?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!
Nimefanya utafiti nimegundua watu wengi wakikamata kitita cha dollar lazima wakinuse kwanza kuna siri gani katika hili?
 
Hiyo tabia ipo kwa watu wengi pindi wanapopokea hela mpya... Kwa utaratibu wa fenda za kigeni mara nyingi huwa mpya hivyo wengi hupenda kuzinusa kuipata ile harufu yake ya upya
 
Back
Top Bottom