TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Manukato zinanukia pesaHabari wadau..!
Nimefanya utafiti nimegundua watu wengi wakikamata kitita cha dollar lazima wakinuse kwanza kuna siri gani katika hili?
Manukato tena!Manukato zinanukia pesa
Chochote kinachonukia kina manukato ndani yake....na chochote kinachonuka kina uvundo ndani yakeManukato tena!
Unajua scent ya utajiri? Ukinusa hela ndio inanukia. Halafu badilisha hapo sio dollar tu hata za Tsh.Habari wadau..!
Nimefanya utafiti nimegundua watu wengi wakikamata kitita cha dollar lazima wakinuse kwanza kuna siri gani katika hili?
Tena naona za kwetu zinanukia unono zaidi,..au labda sijazoea madolali mie,Unajua scent ya utajiri? Ukinusa hela ndio inanukia. Halafu badilisha hapo sio dollar tu hata za Tsh.
Hata dollar zinanukia harufu nzuri na ukizinusa lazima u-smile.Tena naona za kwetu zinanukia unono zaidi,..au labda sijazoea madolali mie,
labda kabila lenu au kwenu kijijini.Habari wadau..!
Nimefanya utafiti nimegundua watu wengi wakikamata kitita cha dollar lazima wakinuse kwanza kuna siri gani katika hili?