Kwanini watu wenye akili ndogo mara nyingi hufa mapema?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana.

Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions na kumuogopa kila mtu kwa inferiority complexes zao.

Angali wafuato.

Jpm kafa ghafla na mapema mno

Makonda naye naskia tetesi

Kwanini lakini?
 
Wewe Jamaa Mungu Anakuona Mchana Kweupe
Mzilankende Kazi Zote Useme.......Umekosea Sahihisha
 
Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana.

Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions na kumuogopa kila mtu kwa inferiority complexes zao.

Angali wafuato.

Jpm kafa ghafla na mapema mno

Makonda naye naskia tetesi

Kwanini lakini?

Mbona wewe huna Akili kabisa lakini hujafa 😂😂😂😂
Usimjibu kwa emotions, mpe jibu... ameweka theory, disprove hs theory and not ad hominem response
 
Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana.

Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions na kumuogopa kila mtu kwa inferiority complexes zao.

Angali wafuato.

Jpm kafa ghafla na mapema mno

Makonda naye naskia tetesi

Kwanini lakini?
Yani katika mabilioni ya watu walio duniani, watu zaidi ya bilioni nane, umepata hitimisho kwa kuangalia kifo cha mtu mmoja na habari za udaku za kifo cha mwingine?

Pia, Magufuli alitimiza miaka 61 katika nchi ambayo life expectancy ni miaka 66. Alifikisha zaidi ya 90% ya kife expectancy ya Tanzania.

Huyo ni mzee kwa viwango vya Tanzania. How is that dying early?
 
AKILI ndogo unaitambuaje mkuu ?

Kufa mapema kuna sababu nyingi Sana ?
 
Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana.

Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions na kumuogopa kila mtu kwa inferiority complexes zao.

Angali wafuato.

Jpm kafa ghafla na mapema mno

Makonda naye naskia tetesi

Kwanini lakini?
Kwahiyo wewe unajiona una akili kubwa kwa kuanzisha thread inayohusu waliokwsha kufa? Wewe na uhai ulionao na akili yako, umeshafanya jambo gani kubwa kwa familia yako achilia mbali taifa!
 
Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana.

Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions na kumuogopa kila mtu kwa inferiority complexes zao.

Angali wafuato.

Jpm kafa ghafla na mapema mno

Makonda naye naskia tetesi

Kwanini lakini?
Wewe kijana chunga sana mdomo wako sio Kila unachokiwaza ukitamke!
 
Kuna kichaa tangu niko mdogo balehe mpaka sasa nina miaka mingi tu yupo anadunda nae tusemeje
 
Back
Top Bottom