Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Wanazaa ili hao watoto waje kuwaondoa wazazi wao kwny umasikini.Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato.
Naombeni msaada kwa anaye jua
Halafu umepatia mpaka basi. Na mwalimu mkuu wangu ni BICHWA KOMWE -
Kwamba Trump ni masikini kazi ipo! Mfalme wa Eswatin naye ni masikini!kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato.
sio kweli inategemeaYeah ndio ukweli wenyewe. Unahitaji kuwa na nyege tu kufanikisha kitombo ila huwezi kwenda Dubai kwa kutumia nyege😁 au mbuga za wanyama na kutalii duniani bila mpunga.
Ni kukata mauno km mnyoo tuHela za Kwenda Ngororo sijui Zanzibar hatuna.
Kupoteza muda huo wakati ungekaa ndani ukashughulika na nyapu tu.
Yaani wewe bibie!😂🤣😁😅Boro la maskini linadinda muda wote.
Boro la kicheche yani muda wote ngaa ngaa ngaaa... Boro mninga, boro mdiso, boro lisilo na maokoto, Boro la muda wote.
Cc: Extrovert Poor Brain secretarybird
napigilia msumariYaani ukose hela ukose na watoto basi utakuwa kichaa.
Stress za maisha....wanajifariji kwa ngono...matokeo yake watoto kibaooo.....wana madai kila mtoto anakuja na riziki yake....huko mbele watamsaidiaaaKwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato.
Naombeni msaada kwa anaye jua