Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato.

Naombeni msaada kwa anaye jua
Wanazaa ili hao watoto waje kuwaondoa wazazi wao kwny umasikini.
 
Eti wanasema masikini starehe yao kubwa kunyanduana eti kwasababu hawana mawazo sasa mtu mwenye pesa anakuwaje na mawazo wakati ana uwezo wa kupata kila kitu ikiwemo papuchi safi na tight? Maana yake mtu mwenye pesa akili yake imetulia hana stress so mood ya kunyanduana inakuwepo muda wote.

Masikini unadaiwa kodi,ada,bili ya umeme na maji, n.k mood ya kunyanduana unaitoa wapi?
 
Simply sababu ukiwa masikini, luxurious yet cheap activity pekee ni sex, leading to lots of unnecessary little useless humans.
 
Yeah ndio ukweli wenyewe. Unahitaji kuwa na nyege tu kufanikisha kitombo ila huwezi kwenda Dubai kwa kutumia nyege😁 au mbuga za wanyama na kutalii duniani bila mpunga.
sio kweli inategemea
 
watu tunatamani tujaze kijiji mtu mmoja kwa kuzaa watoto wengi. Hiyo ndio sifa kuu ya kiumbe hai huzaliana. Habari za umasikini na utajiri kivumishi tu hazihusiani na kuzaa watoto wengi au wachache
 
Endelea kudangnywa kuwa Kila mtoto anakuja na sahani yake, Mungu alitupa akili ya kujitambua ,pamoja na kufanya maamuzi sahihi. umepanga Chumba kimoja harafu unazaa watoto wengi Tena wajinsi zote, unawaomba majirani au wapangaji wenzio watoto walale kwao, baada ya miaka unakuja kugundua watoto wako walishaharibiwa, wakiume wamereft group na wakike wanatumika pande zote , utamlaumu nani?
 
Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato.

Naombeni msaada kwa anaye jua
Stress za maisha....wanajifariji kwa ngono...matokeo yake watoto kibaooo.....wana madai kila mtoto anakuja na riziki yake....huko mbele watamsaidiaaa
 
Back
Top Bottom