Kwanini watu wenye ‘ Sifa ‘ hizi Kuu zifuatazo Vijiweni huhisiwa ni Usalama wa Taifa hasa Kibongobongo?

Kwanini watu wenye ‘ Sifa ‘ hizi Kuu zifuatazo Vijiweni huhisiwa ni Usalama wa Taifa hasa Kibongobongo?

Kuna Mtu aliwahi Kuniambia nawe ni Mmoja wao Mkuu hivyo nategemea kupata ' Madini ' mengi leo kutoka Kwako Mtaalam.
Hahaha
Kila member wa JF ni usalama mkuu.
Hata wewe nikuwa najua usalama au mtoto wa boss flani hapo usalama kumbe mbwembwe zetu tu za jf.

Mimi mtumishi wa Mungu mwenye kiherehere cha kutaka kujua kila kitu tu hata kama hakinisaidii. Ni udhaifu wangu.
 
Usalama wa Taifa ni watu smart sana , ambao huwezi hata kuwafikiria usidhani zamani ni kama sasa ,sasa hivi wana mbinu za kupata taarifa

Wako smart yaani unaweza hata usiwafikirie kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante kwa Kuchangia kutokana na Uzoefu wako mkubwa ulionao huko. Je, una maoni gani hasa juu ya Watu wa Vijiweni hasa ' Uswahilini ' ambao huwadhania Watu wenye hizo ' Sifa ' Saba ( 7 ) hapo juu kuwa ndiyo nyie na hiyo Taasisi yenu Kubwa, Nyeti na Muhimu sana nchini? Jibu lako nitalishukuru na utakuwa umenisaidia Kunielimisha nami pia. Nalisubiria kwa hamu Mkuu.
 
Wachokoza Mada hasa za Kiserikali na Matukio Nyeti hasa yaliyobeba Hisia za Watu.
Watu ambao huwa hawakosekani Vijiweni 24/7 ila huwa wakimya tu na hawachangii lolote.
Watu ambao hupenda mno Kuchambua mambo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi Kiufasaha.
Watu ambao wakiondoka hapo Vijiweni huwa hawaagi na utashtukia tu hawapo Kitambo.
Watu ambao hupenda kuja Vijiweni mara kwa mara ila huwa hawapendi Kujulikana waishipo.
Watu ambao wakiwa Vijiweni hata ukiomba mbadilishane Namba watakataa au kukukwepa.
Watu ambao mkiwa mmekaa Kijiweni mnashtukia tu wamekuja na huwa hawaanzi Kusalimia.

Nawasilisha.
Kwanini wewe unahisi mimi ni afisa usalama wa Mkoa ?
 
usalama wa taifa unaanzia kwako, kwangu na watanzania wote kwa ujumla.
kwa hiyo sisi sote ni 'usalama wa taifa'.
nafikiri umenielewa
 
Kwani na hapa Jamvini ( JamiiForums ) kumbe huwa wapo Mkuu? Basi nitashukuru kama nao wakiuona Uzi huu ili kwa Uzoevu na Ubobezi wao ' uliotukuka ' waweze kutuambia ni kwani Watu wenye ' Sifa ' hizo Saba ( 7 ) hapo juu wakiwa Vijiweni hasa Uswahilini huhisiwa ni Usalama wa Taifa.
Wapo wanakosaje sasa humu I'd zote hizi na fakes name zote hizi unazani hawapo humu angalia wanaopinga sana maana yawezekana katika point ulizotaja hapo ni moja ya mbinu zao au zote zikawa ni mbinu alafu ww unazitaja tu
unawataka wawe exposed huko vijiweni. Nimaoni yangu tu [emoji4] lakini.
 
Wamekua wanaona sifa kujulikna ni usalama tofauti na zamani hadi watu wengi wanaanza kuigiza sifa zao. Lakin hta kwa watu wasiopenda kuexpose mambo yao kwa wetu wengine hasa ya kazi, safari zao, elimu au wanakotoka wamekua wakitasfiriwa vibaya pia kudhaniwa kuwa wamo kwenye hilo kundi. Ila nadhani wao sometimes ni smart zaidi kujaribu kufanya wasihisiwe kwa kazi yao.
 
Kumbe siyo Sifa Kubwa kuwa huko Mkuu? Mimi nilikuwa sijui na sasa nami nitaanza Kuwaona kuwa ni Watu wa Kawaida sana. Asante mno kwa Elimu yako hii ndogo na muhimu Kwangu / Kwetu Raia Wema wa nchi yetu hii nzuri na yenye Umoja na Amani tele tu.
Wewe ni usalama wa taifa.

According to my saikolojy.


Unatuchora tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom