Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry mkuu jamaa ni mwezi mchanga msamehe, kumbuka alitulia hapa katikati ni karud kwa kasi.
Ama!Ongezea watu wenye low profile life lakini wana connection hatari. Mfano utakuta muuza magazeti lakini Ana namba za jafo majaliwa rpc nk na anaweza kuwapigia anytime na wakaongea fresh tu.
nanNingekuwa jiwe ningemtumbua mkuu wa kitengo haiwezekani CIA aka mabeberu wamdukue mkuu wa jiji halafu wamuanike bila hata kugundulika. Ina maana wakwetu wamezidiwa akili na mabeberu? Wanashindwaje kuwakamata wadukuzi wa viongozi wetu mpaka waanikwe huko nje na kuleta aibu kwa taifa na kimataifa.
Usalana wetu inabidi wabadili mbinu wazuie kudukuliwa viongozi wetu.
Binaadamu tuna hisia tano ila kunakujiongeza piaWachokoza Mada hasa za Kiserikali na Matukio Nyeti hasa yaliyobeba Hisia za Watu.Watu ambao huwa hawakosekani Vijiweni 24/7 ila huwa wakimya tu na hawachangii lolote.Watu ambao hupenda mno Kuchambua mambo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi Kiufasaha.Watu ambao wakiondoka hapo Vijiweni huwa hawaagi na utashtukia tu hawapo Kitambo.Watu ambao hupenda kuja Vijiweni mara kwa mara ila huwa hawapendi Kujulikana waishipo.Watu ambao wakiwa Vijiweni hata ukiomba mbadilishane Namba watakataa au kukukwepa.Watu ambao mkiwa mmekaa Kijiweni mnashtukia tu wamekuja na huwa hawaanzi Kusalimia.
Nawasilisha.
HAHABinaadamu tuna hisia tano ila kunakujiongeza pia
Kuamini au kutoamini pale inapopaswa kuamini
Hata Kama wakaiwa usalama wataifa Mimi naona nivizuri kwani tunakua tupo nawatu salama
Mimi nikimuhisi tu sitomfatilia wala kutaka kujua kwanini Yuko pale kwani jibu yupo kwaajili yausalama wawatanzania kwanini niwe nahofu wakati sinamakosa Wala sio muhalifu Tena nitampaushirikiano wakumpa muongozo wa wahalifu nitakapopata habari zawahalifu bila yayeye kujua nimejiongeza lakini
WellBinaadamu tuna hisia tano ila kunakujiongeza pia
Kuamini au kutoamini pale inapopaswa kuamini
Hata Kama wakaiwa usalama wataifa Mimi naona nivizuri kwani tunakua tupo nawatu salama
Mimi nikimuhisi tu sitomfatilia wala kutaka kujua kwanini Yuko pale kwani jibu yupo kwaajili yausalama wawatanzania kwanini niwe nahofu wakati sinamakosa Wala sio muhalifu Tena nitampaushirikiano wakumpa muongozo wa wahalifu nitakapopata habari zawahalifu bila yayeye kujua nimejiongeza lakini
Kumbe[emoji23]Hivi mnajidanganya kuwa kuna kitu kama usalama wa Taifa..
Taz tuna usalama wa CCM bac