slay queen
Senior Member
- Dec 21, 2019
- 103
- 273
HahahaKuna Mtu aliwahi Kuniambia nawe ni Mmoja wao Mkuu hivyo nategemea kupata ' Madini ' mengi leo kutoka Kwako Mtaalam.
Usalama wa Taifa ni watu smart sana , ambao huwezi hata kuwafikiria usidhani zamani ni kama sasa ,sasa hivi wana mbinu za kupata taarifa
Wako smart yaani unaweza hata usiwafikirie kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau kuchomeka peni mbili kwenye mfuko wa shati upande wa kushoto!Watu ambao wanavaa Kaunda suti je
Kwanini wewe unahisi mimi ni afisa usalama wa Mkoa ?Wachokoza Mada hasa za Kiserikali na Matukio Nyeti hasa yaliyobeba Hisia za Watu.Watu ambao huwa hawakosekani Vijiweni 24/7 ila huwa wakimya tu na hawachangii lolote.Watu ambao hupenda mno Kuchambua mambo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi Kiufasaha.Watu ambao wakiondoka hapo Vijiweni huwa hawaagi na utashtukia tu hawapo Kitambo.Watu ambao hupenda kuja Vijiweni mara kwa mara ila huwa hawapendi Kujulikana waishipo.Watu ambao wakiwa Vijiweni hata ukiomba mbadilishane Namba watakataa au kukukwepa.Watu ambao mkiwa mmekaa Kijiweni mnashtukia tu wamekuja na huwa hawaanzi Kusalimia.
Nawasilisha.
"Vichaa wengi wapo kwenye balozi nje ya nchi" Alisikika Mnywa Alkasus akizungumza.
una ujasiri sana eeh!Vipi kuhusu watu wenye makalio makubwa kama ya bashite na wenye mijimacho mikubwa kama ya yule profesa wa jalalani
Jasiri sana bwana kwani kumfata Ben sa8 si bundle yako tuuna ujasiri sana eeh!
okJasiri sana bwana kwani kumfata Ben sa8 si bundle yako tu
Wapo wanakosaje sasa humu I'd zote hizi na fakes name zote hizi unazani hawapo humu angalia wanaopinga sana maana yawezekana katika point ulizotaja hapo ni moja ya mbinu zao au zote zikawa ni mbinu alafu ww unazitaja tuKwani na hapa Jamvini ( JamiiForums ) kumbe huwa wapo Mkuu? Basi nitashukuru kama nao wakiuona Uzi huu ili kwa Uzoevu na Ubobezi wao ' uliotukuka ' waweze kutuambia ni kwani Watu wenye ' Sifa ' hizo Saba ( 7 ) hapo juu wakiwa Vijiweni hasa Uswahilini huhisiwa ni Usalama wa Taifa.
Wewe ni usalama wa taifa.Kumbe siyo Sifa Kubwa kuwa huko Mkuu? Mimi nilikuwa sijui na sasa nami nitaanza Kuwaona kuwa ni Watu wa Kawaida sana. Asante mno kwa Elimu yako hii ndogo na muhimu Kwangu / Kwetu Raia Wema wa nchi yetu hii nzuri na yenye Umoja na Amani tele tu.