Kwanini watu wenye ‘ Sifa ‘ hizi Kuu zifuatazo Vijiweni huhisiwa ni Usalama wa Taifa hasa Kibongobongo?

Sasa wewe kwa akili yako uslama wa taifa ni sifaaaa au?
Ni ujinga kuamini hivyo hiyo ni kazi swa na Ualimu, fundi cherehani au mtumishi yeyote wa umma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezea watu wenye low profile life lakini wana connection hatari. Mfano utakuta muuza magazeti lakini Ana namba za jafo majaliwa rpc nk na anaweza kuwapigia anytime na wakaongea fresh tu.
 
nan
 
Binaadamu tuna hisia tano ila kunakujiongeza pia
Kuamini au kutoamini pale inapopaswa kuamini
Hata Kama wakaiwa usalama wataifa Mimi naona nivizuri kwani tunakua tupo nawatu salama
Mimi nikimuhisi tu sitomfatilia wala kutaka kujua kwanini Yuko pale kwani jibu yupo kwaajili yausalama wawatanzania kwanini niwe nahofu wakati sinamakosa Wala sio muhalifu Tena nitampaushirikiano wakumpa muongozo wa wahalifu nitakapopata habari zawahalifu bila yayeye kujua nimejiongeza lakini
 
HAHA
 
Hivi mnajidanganya kuwa kuna kitu kama usalama wa Taifa..

Taz tuna usalama wa CCM bac
 
Well
 
Kwa wenzetu kachero wanapiga dili zao na watu wazito siyo vijiweni -mfano at conferences hosted by the International Atomic Energy Agency in Vienna, ‘there are probably more intelligence officers than actual scientists.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…