Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
nakaziaUvivu, majungu, mipango mibovu, etc
wewe nenda INDIA ndo ujue hujui!!Karibu katika huu mjadala why black people are poor.
Mimi nita highlight mambo matatu
Nidhamu ya pesa
Nidhamu ya Kazi
Kutokuwa na utamaduni wa kujiwekea AKIBA.
rejea kenye swali lako la msingi wee jamaa!!....uliuliza hivi"kwa nini wa2 weusi ni masikini?"...nami nimekujibu nenda INDIA ukaone!!! nikiwa namaanisha INDIA ina masikini wengi kuliko AFRIKA!!! but also you have to know that,,,pia INDIA ina wa2 weusi kwelikweli kuuliko wewe ambao jamii yao inaitwa WAGOA!!!!Wahindi ni weusi?
Nidhamu ya muda. Time is a factor of production. Time is moneyKaribu katika huu mjadala why black people are poor.
Mimi nita highlight mambo matatu
Nidhamu ya pesa
Nidhamu ya Kazi
Kutokuwa na utamaduni wa kujiwekea AKIBA.
Umasikini wa Waafirika unasababishwa na Viongozi wao walioko madarakani kwa kuwanyima fusra za kutumia utajiri wa rasilimali zao,kinyume chake wao viongozi ndiyo wanageuka kuwa matajiri wakubwa kuliko hata wafanya biasharaKaribu katika huu mjadala why black people are poor.
Mimi nita highlight mambo matatu
Nidhamu ya pesa
Nidhamu ya Kazi
Kutokuwa na utamaduni wa kujiwekea AKIBA.