kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 867
Umenichekesha piaBunsenburner umenichekesha san mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenichekesha piaBunsenburner umenichekesha san mkuu
Sasa hapo kujiangalia kunatoka wapi mkuu?Yani umejuakama alipofika nyumbani ndio akajua kwamba hajavaa soks, mbona hayomambo alitakiwa kujua mkewake, jiangalie mkuu au alikupigia cm.
That's the truth [emoji23]Bunsenburner umenichekesha san mkuu
mh inawezekana huyo alikuwa na hatia...na ameachiwa kibahati mbaya tuu...ila mimi naamini sehemu kama polisi ama mahakamani ni sehemu salama kama zilivyo nyumba za ibada
Muda wote uho wakati anafanya iko kitendo cha kuvaa viwalo vyake we ulikuwa unamfuatia kwa nyuma nyuma kaka,,, duh,
Acha upuuzi wako, matukio yote hayo ulikua unamfuatilia....??
Nolle prosequi na partial withdrawDuh! We ni balaa sana, yaani ulikuwa unamfatilia kituo kwa kituo? Kweli wewe sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwamba na gari pia aliibeba kutoka central hadi huko Amref ndo kaiweka barabarani na kuipanda?
Siku ukiwekwa huko wewe bila shaka majibu utayapata na utaleta mrejesho hapa!
...sasa nakuomba kitu kimoja hebu nipe majina yako yote na mahali unapopatikana kuna jambo nataka nitete na Makonda juu yako please!!
Kumbe ulikua unatumia PTZ..[emoji15]Courtesy of CCTV.
Okay, ila ungenipa tu maana ninachotaka kuteta hakina uhusiano na majina aliyoyataja...Kabla sijakupa hizo details zangu zote subiri kwanza nihakiki upya katika ile Karatasi ya Makonda ya Watu 65 kisha nipitie na yale majina yaliyochapishwa katika Gazeti la JAMHURI niangalie kama nami simo katika yale majina 560 ndipo nikupe huo ushirikiano unaoutaka tafadhali.
Ha ha ha haaaa...acha kutufunga kamba za ukili mkuu.Hivi ni kwanini kila Mtuhumiwa pindi awapo Mahakamani au hata Polisi akiachiwa tu huru hutoka nduki ( hukimbia mara moja ) kutoka eneo la Mahakama au Polisi huku wengine wakiwa radhi hata kukimbia pekupeku na gari watapandia mbele kwa mbele?
Nini hupelekea hali hii ambayo nimekuwa nikiishuhudia mno pale Mahakamani Kisutu na pale Central Police. Kwa mfano leo hii hii nimemuona Mtu mmoja maarufu sana alipoachiwa tu kutoka alikohifadhiwa tai yake kaja kuifungia Kona ya Stesheni, Kiatu kakivalia Kituo cha zamani cha Mabasi cha Kisutu, Rozari yake kaivalia pale DIT na gari yake kaja kuipandia hapa maeneo ya AMREF / Msalaba Mwekundu na kakumbuka kuwa hakuvaa Soksi tayari akiwa ameshafika Nyumbani Kwake.
Nitashukuru kwa majibu yenu hasa ukizingatia kuwa kila Mtanzania ni Mtuhumiwa au Mfungwa mtarajiwa.