Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Mara nyingi wengi wanawahi vyombo vya Usafiri Daladala,Bajaj ATUL na Mwendokasi kuunganisha na maeneo mengine jijini,Pia wengine wanawahi kabla Magari hayajaruhusiwa kwani yanasababisha wachelewe haswa wenye Baisikeli,Mikokoteni na Guta, mwisho Pale kuna ka-mlima(mpando)na hulka za wengi hupenda ku-trout wakipanda mlima (mpando)Kama umegundua kitu watu wakishuka kwenye pantoni pia hutoka mbio utadhani wanashindana (zamani nilidhani ni sheria).
Sijapata jibu na sina jibu hapa.
achana na kazi za watu🙂Muda wote uho wakati anafanya iko kitendo cha kuvaa viwalo vyake we ulikuwa unamfuatia kwa nyuma nyuma kaka,,, duh,
Not in Tz, usijiamini kupita kiasi utakuja kujuta.mh inawezekana huyo alikuwa na hatia...na ameachiwa kibahati mbaya tuu...ila mimi naamini sehemu kama polisi ama mahakamani ni sehemu salama kama zilivyo nyumba za ibada
Kabla ya mwendokasi watu wanakimbia mwendokasi umekuja watu wanakimbia.Mara nyingi wengi wanawahi vyombo vya Usafiri Daladala,Bajaj ATUL na Mwendokasi kuunganisha na maeneo mengine jijini,Pia wengine wanawahi kabla Magari hayajaruhusiwa kwani yanasababisha wachelewe haswa wenye Baisikeli,Mikokoteni na Guta, mwisho Pale kuna ka-mlima(mpando)na hulka za wengi hupenda ku-trout wakipanda mlima (mpando)
Hao huwa wanaachiwa kwa makosa yalio ndani ya "hati ya mashitaka tu" kwayiyo polisi au waendesha mashtaka wanaruhusiwa kukukamata nje ya mahakama na kukurejesha tena mahakamani huku zile defects za hiyo hati wameshazisahihisha.mh inawezekana huyo alikuwa na hatia...na ameachiwa kibahati mbaya tuu...ila mimi naamini sehemu kama polisi ama mahakamani ni sehemu salama kama zilivyo nyumba za ibada
Kuna ka mantiki, ila kwa wale wa mahakamani kuna ya zaidi ya haya.Coz wanakua wamepakumbuka sana uraiani na wamekumbuka kua huru na kufanya mambo wayatakayo bila kusimamiwa na mtu,uhuru wa binadamu ni muhimu na unathamani sana,na thamani yake utaijua siku utakapo nyimwa huo uhuru,
Hata watoto wa shule inapogongwa kengere hutoka nduki darasani wakielekea nje ili wawe huru kufanya watakalo bila kusimamiwa na mtu,
Hata kwenye vyombo vya usafiri kama vile Ndege,mabasi,Meli n.k Kila abiria hutaka awe yeye wa kwanza kutoka nje ya hivyo vyombo! Na sababu kubwa ni kutaka kua huru zaidi coz ndani ya safari ya masaa 6 n.k ndani ya chombo cha usafiri ni kama kifungo tu!
Hata mifugo kama vile Kuku,Bata,Mbuzi n.k unapowafungulia asubuhi ili watoke kwenye mabanda yao,basi hutoka nje kwa spidi na kuruka ruka kwa furaha ili wawe huru zaidi kwenda watakako, usiuchezee uhuru wako mkuu ni kitu chenye thamani kubwa sana.
Sentence nyingine zina zuamaswali kiongozi.Sasa hapo kujiangalia kunatoka wapi mkuu?
HahahahaSentence nyingine zina zuamaswali kiongozi.
Huko mahakamani au police sawa, unaweza kuona mtuanavyo toka lakini mbaka nyumbani kwake it's litle bit confusion.
Kumbe hata wewe ulimwona alafu alijikwaa kidogo tuu adondoke nadha kama ni maumivu kaenda kuyasikilizia mbaliHivi ni kwanini kila Mtuhumiwa pindi awapo Mahakamani au hata Polisi akiachiwa tu huru hutoka nduki ( hukimbia mara moja ) kutoka eneo la Mahakama au Polisi huku wengine wakiwa radhi hata kukimbia pekupeku na gari watapandia mbele kwa mbele?
Nini hupelekea hali hii ambayo nimekuwa nikiishuhudia mno pale Mahakamani Kisutu na pale Central Police. Kwa mfano leo hii hii nimemuona Mtu mmoja maarufu sana alipoachiwa tu kutoka alikohifadhiwa tai yake kaja kuifungia Kona ya Stesheni, Kiatu kakivalia Kituo cha zamani cha Mabasi cha Kisutu, Rozari yake kaivalia pale DIT na gari yake kaja kuipandia hapa maeneo ya AMREF / Msalaba Mwekundu na kakumbuka kuwa hakuvaa Soksi tayari akiwa ameshafika Nyumbani Kwake.
Nitashukuru kwa majibu yenu hasa ukizingatia kuwa kila Mtanzania ni Mtuhumiwa au Mfungwa mtarajiwa.
Kuna kipengele kwenye sheria inaitwa 2 .5.5
Ksho ntakupa data zaidi...
Lkn mambo vp gentamyc sijakuona muda kdg humu
Ova
Okay, ila ungenipa tu maana ninachotaka kuteta hakina uhusiano na majina aliyoyataja...
Manji aliachiwa akawa anaondoka kwa mbwembwe akarudishwa tena ndani..
Hiyo mimba ya kunibebesha unayo?Kwahiyo unataka nikubebeshe ' Mimba ' au?
Hiyo mimba ya kunibebesha unayo?
Basi kama unacho hicho kibebesha/kibebechasho mimba kitumie ujibebee mwenyewe..Kwahiyo unataka kusema ' Maulana ' kaniumba bila Kibebesha au Kibebechasho Mimba?
Nilikwenda ' kutambika ' kidogo huko Kijijini Kwetu Uzanakini Musoma Vijijini hivyo ' mizimu ' yetu ya Kizanaki iitwayo ' Muhunda ' huwa haitaki mambo yenu haya ya ' ki globalization ' ikaniamuru nisishughulike nayo ili wanifanyie ' Matambiko ' yao na nikimaliza ndipo nirudi Dar na niendelee nayo hivyo nimerejea Dar Ijumaa na kuanza kuwepo humu ' Jamvini ' kama kawaida tokea jana Jumamosi na kama kawaida yangu ' natiririka ' tu bila wasiwasi nikiwa na ' Chaji ' mpya kabisa ya Mababu na Mabibi wa Kizanaki. ONYO KWAKO siku nyingine usirudie tena kukosea kuandika ID yangu kama inavyotakiwa na wala sipendi uifupishe Mkuu sawa? ID yangu hiyo inafuatiliwa hadi na Trump, Putin, Mr. Tanzania ya Viwanda, Museveni, Kabila, Kagame, Makonda, Wauza Unga na Sembe na hadi Vibaka wote maeneo mbalimbali bila kusahau Sir God na Malaika wake wote wakuu akina Gabrieli na Mikaela hivyo yakupasa uiheshimu mno. Nimekuja na Karanga mbichi na Unga wa Ulezi Mkuu una Mke ili nikupunguzie kidogo hizi Karanga Mbichi kwani naona zikiendelea kukaa hapa Kwangu na hivi ninavyozifululiza kuzila kila baada ya dakika 3 naweza kuombwa ' Talaka ' na Shemeji yako muda si mrefu.