bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,741
Kila nikijiuliza sipati jibu, juzi hapa nimekutana na ndugu yangu hatujaonana kitambo sana. Katika kupiga stori akaniambia kati ya sigara au bangi kuna kimoja unatumia. Nikamuuliza umejuaje? Akasema nimeona tu mdomo mweusi.
Sasa hawa wenzetu kina Bob Marley, Snoop Dogg, Wiz khalifa, Obama, Lil wayne, Chris Brown mbona hawana midomo myeusi? Au bangi yetu ni kali sana?
Tusaidiane wazee tuondoe huu weusi mdomoni.
Naomba kuwasilisha