Kwanini watumiaji wa bangi wa Tanzania tuna midomo myeusi?

Kwanini watumiaji wa bangi wa Tanzania tuna midomo myeusi?

Kila nikijiuliza sipati jibu, juzi hapa nimekutana na ndugu yangu hatujaonana kitambo sana. Katika kupiga stori akaniambia kati ya sigara au bangi kuna kimoja unatumia. Nikamuuliza umejuaje? Akasema nimeona tu mdomo mweusi.

Sasa hawa wenzetu kina Bob Marley, Snoop Dogg, Wiz khalifa, Obama, Lil wayne, Chris Brown mbona hawana midomo myeusi? Au bangi yetu ni kali sana?

Tusaidiane wazee tuondoe huu weusi mdomoni.

Naomba kuwasilisha

View attachment 1280314
Unapo vuta bang ile ya mwishon inaitwa shoya au kishoya kile knakuwag cha kuckilzia mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom