Haha Pole mkuu. Ila usijali. Wengi tu walishasema hivyo ila sasa mitemba wameishusha chini.Kuacha ni ngumu
kiberitiUnajua nari maana yake nini?
Hajui huyo, ansikiaga nari akazani ni kush kumbe ni kiberitiUnajua nari maana yake nini?
Huyu mkush si waliokotaga kifurush cha kaya nje ya uzio wake?,Na huyu pia ni mtanzania?View attachment 1280510
Huyu jamaaa anaonekana anazibugia pombe Kama zotee..Na huyu pia ni mtanzania?View attachment 1280510