Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi.
Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao tarehe hizi maymos ikiwa inakaribia.
Mwaka huu wategemee nini?
Mowayungu angekuwepo bila shaka angetia neno. Ngoja nimwite pacha wake
Countrywide