Tafuta biashara acha ujingaDah ni maumivu baada ya 23% ni 2.3% tusubr anaweza fanya jambo mei mosi ii.
Morali ya Mei Mosi imepotea kwa watumishi wa umma kwa sababu mwaka jana walikuwa na matumaini ya nyongeza size ya tembo lakini wakaongezwa size ya panya bukuKama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi.
Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao tarehe hizi maymos ikiwa inakaribia.
Mwaka huu wategemee nini?
Mowayungu angekuwepo bila shaka angetia neno. Ngoja nimwite pacha wake
Countrywide
Watumishi wenye hali ngumu nchii hii ni wqnaofanya kazi chini ya TAMISEMI (walimu, watendaji wa vijiji na kata, nakadhalika)Nadhani asilimia kubwa ni Walimu,maana wanapigwa na serikali pamoja CWT
Walimu hali ngumu zaidiWatumishi wenye hali ngumu nchii hii ni wqnaofanya kazi chini ya TAMISEMI (walimu, watendaji wa vijiji na kata, nakadhalika)
Weee waache huko huko wafanyabiashara tumetoshaTafuta biashara acha ujinga
πππ size ya panya buku ila zilikuwa dharauMorali ya Mei Mosi imepotea kwa watumishi wa umma kwa sababu mwaka jana walikuwa na matumaini ya nyongeza size ya tembo lakini wakaongezwa size ya panya buku
Wanateseka sana.Watumishi wenye hali ngumu nchii hii ni wqnaofanya kazi chini ya TAMISEMI (walimu, watendaji wa vijiji na kata, nakadhalika)
Pumbavu sana yule kijana. Na alikuwa anaongea na watu wazima wanaomzidi umri kwakua alikuwa amevimbiwa madaraka akaropokaEnzi za utawala wa Dikteta Bashite aliwaambia wakijitokeza na mabango ya kudai haki atawatandika bakora hadharani.
Yuko wapi Daudi MchambuziEnzi za utawala wa Dikteta Bashite aliwaambia wakijitokeza na mabango ya kudai haki atawatandika bakora hadharani.