bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Mi mwenyewe simuelewi , huyu anaimba bongo fleva ila anajificha kwenye kivuli cha dini. Halaf ni sharo balo tofauti na kina legend Ambwene mwasonge
aliye kudanganya mavazi sio sifa moja wapo ya utakatatifu ni nanKama mavazi ndo yanampeleka mtu mbinguni sawa.
tudokeze kidogoNimecheka tu....
I reserve my comments coz namjua vizuri yeye na familia yake kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app
aliye kudanganya mavazi sio sifa moja wapo ya utakatatifu ni nan
usiwe mbishi. Ina maana hadi sasa hauelewi ninachomaanisha?Haya mkuu na zile amri 10 za Mungu tuziache mana siyo ukristo ule. Ukristo amri ni moja tu upendo
mbona sijaongelea neno nguvu
wamefanyaje hao wapiga vyombo?Umewahi kufatilia chapel za marekani??? Acha hizo basi wapiga vyombo wa Doen Moe?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Je umeikubali hiyo inayochambuliwa kuwa Ni kasoro? Maana hapa wengi hawaoni kama Kuna tatizo mwimbaji WA injili kulikwepa jina la Yesu.Jamani wabongo tusiwe walevi wa dini tuelewe kusudi la mungu huku kuchambua watu kunatoka wapi kana kwamba ninyi woteee hamna kasoro
Sent using Jamii Forums mobile app
kila mtu ana uhuru wa kuabudu vile anavyoona yeye inampa amani moyoni mwake, kwahiyo tusifungue mjadala wa kipi kilikuaje, kwa wanaopata amani na uwimbaji wake na waendelee tu kumsikiliza, hata mimi sio kama simsikilizi namsikiliza mana napenda mziki, ila ishu ni kwamba sina category ya kumuwekaKwani nyimbo za gospel zikoje?.je hebu niambie kipindi cha nyuma kabla ya yesu kristo kuja duniani waliokuepo walikua hawaimbi nyimbo za kumtukuza Mungu?
Ni kweli tazama warumi12:1-3,neno lasema waziwazi msiige mitindo ya maisha ya ulimwengu huu bali fikra zenu/zetu zigeuzwe sawasawa na yeye aliyetuumba( Yesu), sasa kma mtumish wa Mungu anainjirisha alafu akawa kama watu wa mataifa wasiomjua Mungu anakosea!!!Agizo kuu ni kuhubiri injili watu waache dhambi na kumfuata Yesu.
Mtu akijaribu kuenenda sawa na Dunia anakuwa haeleweki
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewai ona mwimbaji wa kike angela bernad anahojiwa(YouTube), akasema changamoto anayokutana nayo ni pale anapolitaja jina la Yesu ktk wimbo wowote mashabiki wanakua wachache,sasa hapo natambua kua wengi wanajikwaa kwa sababu ya jina tukufu la Yesu huku wakiogopa kupoteza mashabiki lakin si kufanya kazi ua Yesu ,hapo ndipo ninapopata picha kua wapo kibiashara na si kuinjirishaPraise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.
Uimbaji wake hapa wanapenda kuzungumzia suala la kutungia baadhi ya wasanii nyimbo kama baraka prince.
Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu
Nyie mnamuelewaje kwani???
New-song shukrani
Kwan sharobaro haez ona ufalme Wa mbingu?Mi mwenyewe simuelewi , huyu anaimba bongo fleva ila anajificha kwenye kivuli cha dini. Halaf ni sharo balo tofauti na kina legend Ambwene mwasonge
Mabadiliko aliyoyafanya Yesu pale msalabani yanatosha kutupeleka mbinguni,mabadiliko mengine unayotaka wewe na huyo muimbaji mkafanyie kuzimu.Hao ni conservatives kama kina Trump.Hawataki mabadiliko katika mfumo wa maisha wa jamii katika nyanja mbalimbali.
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app