Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Hao ni conservatives kama kina Trump.Hawataki mabadiliko katika mfumo wa maisha wa jamii katika nyanja mbalimbali.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa nikifikiri ni mimi tu nimeshindwa kumwelewa, sisikilizi wala kuangalia video zake, Paul Clement nawe jichunge naona ndiko unakoelekea
 
Jamani wabongo tusiwe walevi wa dini tuelewe kusudi la mungu huku kuchambua watu kunatoka wapi kana kwamba ninyi woteee hamna kasoro

Sent using Jamii Forums mobile app
Je umeikubali hiyo inayochambuliwa kuwa Ni kasoro? Maana hapa wengi hawaoni kama Kuna tatizo mwimbaji WA injili kulikwepa jina la Yesu.

Pia, unamaamisha kwa kuwa Hakuna aliye mkamilifu, watu wasionywe juu ya dhambi au mienendo isiyo na ushuhuda mwema.
 
Kwani nyimbo za gospel zikoje?.je hebu niambie kipindi cha nyuma kabla ya yesu kristo kuja duniani waliokuepo walikua hawaimbi nyimbo za kumtukuza Mungu?
kila mtu ana uhuru wa kuabudu vile anavyoona yeye inampa amani moyoni mwake, kwahiyo tusifungue mjadala wa kipi kilikuaje, kwa wanaopata amani na uwimbaji wake na waendelee tu kumsikiliza, hata mimi sio kama simsikilizi namsikiliza mana napenda mziki, ila ishu ni kwamba sina category ya kumuweka
 
Agizo kuu ni kuhubiri injili watu waache dhambi na kumfuata Yesu.

Mtu akijaribu kuenenda sawa na Dunia anakuwa haeleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli tazama warumi12:1-3,neno lasema waziwazi msiige mitindo ya maisha ya ulimwengu huu bali fikra zenu/zetu zigeuzwe sawasawa na yeye aliyetuumba( Yesu), sasa kma mtumish wa Mungu anainjirisha alafu akawa kama watu wa mataifa wasiomjua Mungu anakosea!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Praise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.

Uimbaji wake hapa wanapenda kuzungumzia suala la kutungia baadhi ya wasanii nyimbo kama baraka prince.

Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu

Nyie mnamuelewaje kwani???

New-song shukrani
Nimewai ona mwimbaji wa kike angela bernad anahojiwa(YouTube), akasema changamoto anayokutana nayo ni pale anapolitaja jina la Yesu ktk wimbo wowote mashabiki wanakua wachache,sasa hapo natambua kua wengi wanajikwaa kwa sababu ya jina tukufu la Yesu huku wakiogopa kupoteza mashabiki lakin si kufanya kazi ua Yesu ,hapo ndipo ninapopata picha kua wapo kibiashara na si kuinjirisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuulewa huu uimbaji wa huyu kijana, zaidi ya kumuona anarusha rusha miguu kama wabogoyo!
 
Hao ni conservatives kama kina Trump.Hawataki mabadiliko katika mfumo wa maisha wa jamii katika nyanja mbalimbali.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Mabadiliko aliyoyafanya Yesu pale msalabani yanatosha kutupeleka mbinguni,mabadiliko mengine unayotaka wewe na huyo muimbaji mkafanyie kuzimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom