Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona masanja anakubalikaBible inasema watu wa Mungu watatambulika kwa matendo yao.
Kama matendo yake hayamtambulishi bas ni tatzo japo kumuhukumu sio kazi yetu ni ya Mungu.
Philips X2560
Sasa Jamani dunia nzima yupo pekeeMtunzi bora no BERNARD MUKASA TU
Praise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.
Uimbaji wake hapa wanapenda kuzungumzia suala la kutungia baadhi ya wasanii nyimbo kama baraka prince.
Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu
Nyie mnamuelewaje kwani???
New-song shukrani
Goodluck sijaona kosa lake, sema tu wengi wanamuogopa kwakuwa ana vitabia vya kutuchapia vitoto vyetu vya sunday school hasa vi-ten ager!
The rest tumuache,wasichana wanamsumbua sana, tumuombee, kila tamasha anapata si chini ya wasichana watano, just imagine na wote wanamtaka kimapenzi
Kanye WEst ametimiza andiko "msipo hubiri hata mawe yatahubiri" so anatumika tu na hapa Tanzania hatuna shida ndiyo maan DIAMOND PLATINUZM aliimba kuhusu Yesu na hatuku piga kelele maana naye ni JIWE TUila ingekuwa Christina shushu kaimba kuhusu Mtume mwamdi ingekuwa maandamanowatu bhana..mnapenda sana kujudge vitu..yani mnajiona nyny ndo mnamjua Mungu kuliko wengine..embu tuchukulie mfano USA mwanamziki wa HIP HOP Kanye west ametoa album ya JESUS IS KING..album nzima ni nyimbo za dini tu..ingekuwa Bongo hapa c ndo mngebwabwaja hd mkaukiwe mate..achen watu na maisha yao bhana..fanyeni yenu..kama hajavunja sheria ya nchi Yupo SAWA tu...tatzo ni perception zenu ndo znawasumbua
Sent using Jamii Forums mobile app