Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

unajidangaya mkuu mwili ni hekalu la bwana kasome mambo ya walawi 19: 27-28 alf urudi hapa ufute comment yako
Popoma kama mwili wako utakupeleka mbinguni au utapaa nao jali ya mwilini lakini kama mwili ni mavumbi na utaishia udongoni subiri siku yako ikifika utarudi hapa ku coment na coment sifuti usipotoshe watu kwa taarifa yako biblia unavo ielewa wewe tofauti na tafsiri ya mwingine nitolee povu lako hapa
Alafu kwanini mnajivisha kazi isiyo wahusu ni Mungu tu ambae anahukumu unamuhukumu binadamu mwenzio who are you yako tunayajua?
 
Mwendo wa kaunda suti za kipaimara na makoti kama mganga wa mvua [emoji56][emoji56] Wapendwa wokovu ni moyoni na rohoni si sura na mavazi kama wengi wadhanivyo,ingawa kuvaa kiheshima ni muhimu Sana kama kioo Cha Yesu[emoji1488]
Amen mtumishi ila kiukweli mdogo roho ya utozi inamuandama bado
 
Kwani mtumishi wa Mungu utakiwi kuwa sharo mbona wapo wengi wazuri kwa kuvaa na wanajua kumtumikia Mungu why Goodluck gozbert

Ana mwonekano wa kikekike, pia cheza yake na namna anavyoji-condition ni kishogashoga. Binafsi simuelewi kabisa.

Toto la kiume utavaaje skintight na kuanza kujilambalamba midomo? Yesu ndio alifundisha huo uzwazwa? Basi akatike viuno tuelewe moja tu.

Aimbe Taarabu.
 
Popoma kama mwili wako utakupeleka mbinguni au utapaa nao jali ya mwilini lakini kama mwili ni mavumbi na utaishia udongoni subiri siku yako ikifika utarudi hapa ku coment na coment sifuti usipotoshe watu kwa taarifa yako biblia unavo ielewa wewe tofauti na tafsiri ya mwingine nitolee povu lako hapa
Alafu kwanini mnajivisha kazi isiyo wahusu ni Mungu tu ambae anahukumu unamuhukumu binadamu mwenzio who are you yako tunayajua?
Katika maelezo yangu nime mhukumu mtu? nitajie kifungu cha bible kinacho dhihilisha maneno yako,
 
Mara atunge nyimbo za bongo fleva, mara agonge beat za wasanii wa bongo fleva, mara aimbe nyimbo za dini....kiufupi ajatulia, ana kipaji cha kuimba na utunzi pia..ila anakitumia kwa manufaa yake binafsi, anaimba kama bongo fleva kabisa huwezi kumtofautisha na rayvanny kujilamba mdomo, ni tofauti na malegendary kama Paul Mwai au Ambwene Mwasongwe..wakiimba unahsi uwepo wa Mungu kabisa na hofu juu...Yaani yeye Ngozi ni ya Esau na sauti ni ya Yakobo...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa anapuyanga ausioo...!!
 
Kwa nini nyinmbo zake hazitaji jina la Yesu? Kama ni kweli basi tuhuma dhidi yake zitakuwa sahihi. Ni waabudu shetani tu ambao huwa hawataji jina la Yesu, ni kwa sababu kulitaja huwa linawagharimu resources zao na ndiyo maana huwa hawapendi kulitaja!
inaonekana una chuki Binafsi tu kwa Jamaa!

Sikiliza huwezi kushinda ameimba hivi !

Yesu huyu yesu hakujitetea kabisa, japo walimsema kwa ubaya aliwasameheee

msimange kwa mengine Mkuu!
 
Namkubali sana GG kazi zake zina ujumbe mzuri hayo mengine n ubinadam tu ikumbukwe akuna mkamilif chini ya jua [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316] nkisikiliza tz gospel songs bila kusikiliza nyimbo za Goodluck gozbert,Walter Chilambo, Joel Lwanga naona kama cjaskia kitu na zinanibarik sana wanajua mno
 
Huyu jamaa ni kipaji, utakuwa wanamuonea wivu
 
inaonekana una chuki Binafsi tu kwa Jamaa!

Sikiliza huwezi kushinda ameimba hivi !

Yesu huyu yesu hakujitetea kabisa, japo walimsema kwa ubaya aliwasameheee

msimange kwa mengine Mkuu!
Hapana hujanielewa. Nasema hivi, kama zinataja jina la Yesu sina shida, ila kama hazitaji basi kuna shida, hoja yangu ni hiyo!
 
Hapana hujanielewa. Nasema hivi, kama zinataja jina la Yesu sina shida, ila kama hazitaji basi kuna shida, hoja yangu ni hiyo!
Jamaa hajui kuwa kwenye ukristo bila jina la Yesu hakuna unalolifanya..ni heri ukalime mahindi Tandahimba...Yesu ndo central figure ya kila kitu katika Ukristo
 
Jamaa hajui kuwa kwenye ukristo bila jina la Yesu hakuna unalolifanya..ni heri ukalime mahindi Tandahimba...Yesu ndo central figure ya kila kitu katika Ukristo

Mimi hili nililielewa hata kabla sijawa Mlokole. Baadaye tena kuna mtumishi mmoja wa Mungu akaja akanipa signo bila yeye mwenyewe kujua. Kule mwanzo ilikuwa kila akisimama kwenye madhabahu anapokuwa akiomba, ilikuwa lazima katika sala yake ataje maneno haya: KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI ALIYE HAI, NASIMAMA KINYUME NA NGUVU ZOTE ZA MAMALAKA YA GIZA......, Sasa sijui kuna nini kimetokea siku hizi. Nina karibia miaka miwili sijamsikia tena anatamka maneno hayo kwenye madhabahu, na ukiona hivyo ujue kuna shida somewhere, au anaweza kuwa siku hizi hayo maneno ameyasahau!
 
Mara atunge nyimbo za bongo fleva, mara agonge beat za wasanii wa bongo fleva, mara aimbe nyimbo za dini....kiufupi ajatulia, ana kipaji cha kuimba na utunzi pia..ila anakitumia kwa manufaa yake binafsi, anaimba kama bongo fleva kabisa huwezi kumtofautisha na rayvanny kujilamba mdomo, ni tofauti na malegendary kama Paul Mwai au Ambwene Mwasongwe..wakiimba unahsi uwepo wa Mungu kabisa na hofu juu...Yaani yeye Ngozi ni ya Esau na sauti ni ya Yakobo...
Mbona mwenyewe alikwishasema kuwa kwa sasa haandiki wala kuandaa nyimbo za Bongofleva kabisa hiyo kazi ameachana nayo.
Halafu kuhusu kuvaa na kuimba sioni tatizo maana hata hizi gospel walizokuwa wakiimba akina Rose Mhando zilikuja baada ya watu kugundua kumbe Makoma wanachoimba kikapendwa wakapiga show hapa Tanzania ni gospel. Nakumbuka nyimbo zao zilikuwa zikigongwa mpaka club.
Kabla ya hapo gospel ilikuwa ya ajabu ajabu so hata hii ni trend mziki wa gospel unabadirika pia kama walikubari gospel ikabadirika na kuwa kama sebene kiasi kwamba asiyejua kiswahili angeweza fikiria ni sawa na wenga music cbg basi wakubari kuwa sasa trend ya mabadiriko nyingine imefika.
 
Ukiiimba dini unatakiwa uvae suruali kama za emachichi bwanaaaa au Brother Joshua..yani unamwambia fundi anaeshona suruali yako Akupime kiuno tuuuuu na ahakikishe tape iko kiunoni kama sio kitovuni.

Huko chini miguuni hamna kupima,a balance tu kitambaa hicho hicho kitoe suruali,ila tu muhimu SURUALI za watumishi Hazikatwi kitambaa wala kupunguzwa,ni mfano wa lile dude la mashine.

Goodluck Goodluck Goodluck Mtumikie Mungu wako bwana,achana na hawa viumbe shenzi zao
 
Back
Top Bottom