Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Mbona kwenye hawawezi kushindana ametaja hilo jina la YesuNi mwimbaji mzuri lakini hataji
Jina La YESU why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kwenye hawawezi kushindana ametaja hilo jina la YesuNi mwimbaji mzuri lakini hataji
Jina La YESU why?
Kwan ni formula kila wimbo utaje Yesu?Kila mtu anayekiri kuwa yupo kristo
Na alikufa kwaajili yake
Huyo atakuwa wake
Lakini Kama uimbaji wake hamtaji Yesu hapo lazima mashaka yawepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Popoma kama mwili wako utakupeleka mbinguni au utapaa nao jali ya mwilini lakini kama mwili ni mavumbi na utaishia udongoni subiri siku yako ikifika utarudi hapa ku coment na coment sifuti usipotoshe watu kwa taarifa yako biblia unavo ielewa wewe tofauti na tafsiri ya mwingine nitolee povu lako hapaunajidangaya mkuu mwili ni hekalu la bwana kasome mambo ya walawi 19: 27-28 alf urudi hapa ufute comment yako
Mkuu taratibu...!!
Amen mtumishi ila kiukweli mdogo roho ya utozi inamuandama badoMwendo wa kaunda suti za kipaimara na makoti kama mganga wa mvua [emoji56][emoji56] Wapendwa wokovu ni moyoni na rohoni si sura na mavazi kama wengi wadhanivyo,ingawa kuvaa kiheshima ni muhimu Sana kama kioo Cha Yesu[emoji1488]
Kwani mtumishi wa Mungu utakiwi kuwa sharo mbona wapo wengi wazuri kwa kuvaa na wanajua kumtumikia Mungu why Goodluck gozbert
Katika maelezo yangu nime mhukumu mtu? nitajie kifungu cha bible kinacho dhihilisha maneno yako,Popoma kama mwili wako utakupeleka mbinguni au utapaa nao jali ya mwilini lakini kama mwili ni mavumbi na utaishia udongoni subiri siku yako ikifika utarudi hapa ku coment na coment sifuti usipotoshe watu kwa taarifa yako biblia unavo ielewa wewe tofauti na tafsiri ya mwingine nitolee povu lako hapa
Alafu kwanini mnajivisha kazi isiyo wahusu ni Mungu tu ambae anahukumu unamuhukumu binadamu mwenzio who are you yako tunayajua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa anapuyanga ausioo...!!Mara atunge nyimbo za bongo fleva, mara agonge beat za wasanii wa bongo fleva, mara aimbe nyimbo za dini....kiufupi ajatulia, ana kipaji cha kuimba na utunzi pia..ila anakitumia kwa manufaa yake binafsi, anaimba kama bongo fleva kabisa huwezi kumtofautisha na rayvanny kujilamba mdomo, ni tofauti na malegendary kama Paul Mwai au Ambwene Mwasongwe..wakiimba unahsi uwepo wa Mungu kabisa na hofu juu...Yaani yeye Ngozi ni ya Esau na sauti ni ya Yakobo...
inaonekana una chuki Binafsi tu kwa Jamaa!Kwa nini nyinmbo zake hazitaji jina la Yesu? Kama ni kweli basi tuhuma dhidi yake zitakuwa sahihi. Ni waabudu shetani tu ambao huwa hawataji jina la Yesu, ni kwa sababu kulitaja huwa linawagharimu resources zao na ndiyo maana huwa hawapendi kulitaja!
Hapana hujanielewa. Nasema hivi, kama zinataja jina la Yesu sina shida, ila kama hazitaji basi kuna shida, hoja yangu ni hiyo!inaonekana una chuki Binafsi tu kwa Jamaa!
Sikiliza huwezi kushinda ameimba hivi !
Yesu huyu yesu hakujitetea kabisa, japo walimsema kwa ubaya aliwasameheee
msimange kwa mengine Mkuu!
Jamaa hajui kuwa kwenye ukristo bila jina la Yesu hakuna unalolifanya..ni heri ukalime mahindi Tandahimba...Yesu ndo central figure ya kila kitu katika UkristoHapana hujanielewa. Nasema hivi, kama zinataja jina la Yesu sina shida, ila kama hazitaji basi kuna shida, hoja yangu ni hiyo!
Jamaa hajui kuwa kwenye ukristo bila jina la Yesu hakuna unalolifanya..ni heri ukalime mahindi Tandahimba...Yesu ndo central figure ya kila kitu katika Ukristo
Mbona mwenyewe alikwishasema kuwa kwa sasa haandiki wala kuandaa nyimbo za Bongofleva kabisa hiyo kazi ameachana nayo.Mara atunge nyimbo za bongo fleva, mara agonge beat za wasanii wa bongo fleva, mara aimbe nyimbo za dini....kiufupi ajatulia, ana kipaji cha kuimba na utunzi pia..ila anakitumia kwa manufaa yake binafsi, anaimba kama bongo fleva kabisa huwezi kumtofautisha na rayvanny kujilamba mdomo, ni tofauti na malegendary kama Paul Mwai au Ambwene Mwasongwe..wakiimba unahsi uwepo wa Mungu kabisa na hofu juu...Yaani yeye Ngozi ni ya Esau na sauti ni ya Yakobo...
Geo davie wa arusha bonge la sharo alaf
u linajichubua na kupaka lipshine