Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Mungu ni yeye yule jana Leo na neno lake la dumu milele, nyimbo zake zote hakuna neno la Mungu bali kamtaja Mungu tu kama waimbaji wa kidunia na kuimba mipasho. Kwa wenye mtazamo wa kidunia hizo nyimbo zake ni nzuri na zinawafurahisha kuwa ni za dini ndio maana anaitwa fiesta. Yesu alisema atakayemkana mbele za wanadamu nae atamkana kwa baba Yake mbinguni, ficha ujinga kaa kimya kama neno la Mungu hulijui na hulipendi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHIDA TUMEZOEA KUDANGANYWA NA HAWA WAIMBAJI WEHU NA MAWACHUNGAJI MATAPELI!

WAIMBAJI WANGAPI WANAMTAJA YESU KAMA WANAKAA NAE MTAANI KWAO NA NI WAZINZI WAKUBWA,WANACHUKUA WAUME ZA WATU,WAKE ZA WATU,WANAJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA DINI NA WANAFANYA MAOVU YA KIDUNIA NA NYUMBA ZAO ZA IBADA NDIO MADANGURO NA VILINGE VYAO VYA UCHAWI!



hebu wamuache kijana wa watu!
KILA MMOJA NA AMSIFU MUNGU NA KUMUABUDU KWA NAMNA ILE ANAJIFUNGAMANISHA NAE!
kina rose mhando wako wapi na yesu zao za kizandiki!?
flora?
bahati?
Christina ?
ha hebu mimi!
kesi zao mitaani ni zaidi ya vile mnawatizama kwenye cover zao za cd!
 
Hata hivyo tunataka tulisikie hata nyimbo moja jina YESU...unajua kutamka jina hili sio mchezo
HAO WANAOLITAMAKA WANA TOFAUTI GANI!?

sisemi kuwa ni sahihi
NAKUULIZA KATIKA HAO WAIMBAJI WANAOLITAMKA WAO WANA USAFI GANI?
HAWA KINA shigongo au?
AH VIYU VINGINE WANADAMU TUMPUNGUZIE MUNGU!
 
Christina ana maisha gani mtaani?! Mimi namuona mkimya sana, bahati na rose tushawasikia sana mambo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watumish wa mungu kina nan??
hawa kina gwajima wanaonunua ndege kwa posho za waumin
lusekelo wenye ma skendo ya kunywa konyagi??

nan aliemsafi kumnyooshea mwenzake kidole??
mwacheni dogo apige hata kama hayuko perfect

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kijana yuko vizuri sana katika uimbaji. Haimaanishi kwamba ukiimba gospel basi uvae suruali mayeno.inshort anajua kuvaa sana.wapo waimbaji wanavaa majoho ila ni watenda dhambi wakubwa tu.mavazi sio kigezo cha kumuhukumu mtu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma kwa makini utagundua watu hawazungumzii mavazi,watu wanajadili mikogo.

Kirembua,kujishaua,kuramba midomo.

Haya mambo ni ya ajabu kufanywa na mtoto wa kiume achilia mbali muimba kwaya.
 
Wapi kamkana YESU jamani acheni kumhukumu kijana wa watu looh mnajifanya miungu watu. Wewe ukoje na Mungu wako hilo ndio la msingi kwako. Mimi wakati wote huwa najitafakari kuwa mimi nikoje na Mungu na mimi ni nani hata nimhukumu mtu. Ajizaniae amesimama aangalie asianguke. JICHUNGUZE na kama umemwona amekosea mtafute mwonye na sio kuna kwenye mitandao kumhukumu. Tena napenda sana nyimbo zake wacha niachie moja muda huu "iko siku yangu tu" inifariji hapa nilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…